Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Wewe ndiye ulitaka tufike huku!
Dunia ya sasa hivi kila mtu atafute pesa zake lakini pesa zenu ni zetu usisahau hilo☺️

Nawaunga mkono wadada wanaotafuta pesa❀️
 
Pole sana mkuu,hawa watu ni pasua kichwa sana,wapende lakini tumia akili ya ziada huku ukimshirikisha sana Mungu,kukuingiza kwenye ma BP ni rahisi sana kwakuwa ni vitu vitakavyokuwa vinakuumiza maisha yako yote,mara nyingi mwanzoni wanakuwa ni watu wazuri sana,lakini wakishaanza kupata kipato hali huwa inabadilika,mostly wana makundi yao kama wanawake huwa wanadanganyana sana,kundi lingine ni huko kwenye salon zao,kule wanakutana na maharamia ambao tayari yameshafail kwenye ndoa zao kwahiyo kazi yao kubwa ni kuvuruga za wale wasiojitambua,Mungu kwanza mkuu everything with time kitakaa sawa...
 
Hii nimeiona!!! Haipiti siku mwanaume na mapumbu yake anaanzisha thread kusakama wanawake!!! Sijui hawana Bibi, Mama, Shangazi, Mke, Dada, Binti?? Waione Zemanda Natafuta Ajira Kosugi na wanaume wote wenye tabia hizo.
Aaah taaddab dada,lini nimeanzisha uzi wa kuwasakama wadada!?
Na mleta mada hajaleta mada ya kusakama bali anaeleza ukweli.
Wanawake mnazingua sana aisee.
Tena wengi wenu naweza sema mnajiuza kijanja.
Yani mwanaume akiwa na hela mna take advantage.
Embu chukulia kesi ya Achraf Hakimi ambayo mkewe alidai talaka.
Hakukuwa na concrete reason ya kudai talaka na Hakimi hakumkosea mkewe lolote,ila kwasababu sheria inasema mkitalikiana mali hugawanywa pasu kwa pasu ikaamuriwa hivyo.
Ila bahati mbaya Achraf mali kaandika jina la bimkubwa.
Acheni ujambazi kwa kujificha kichaka cha ndoa.
Wanawake wa sasa majambazi.
Na dawa yenu tutawashenyenta futa hizo na mali hampati.
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoaβ˜ΊοΈπŸ™Œ
Kunywa Pepsi big hapo Kwa mangi πŸ˜€πŸ˜€
Nami nawasubir wabishe tuwape evidence kuwa wanaume NJ watu wema wantupenda na kutujali mno πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daaaahhh! Pole sana brother Kaka! Kwakweli hapa unahitaji watu wenye hekima kubwa na busara tele kukupa ushauri mpaka ufikie Consensus.

Swala la kutoa utamu nje na mpaka kufikia kumgharamia huyo mwizi wetu linawezekana... Ushushushu wa hali ya juu unahitajika hapo kabla ya yote.

Keep ya' head up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…