Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Wahenga walisema actions speak loudly hapa na mbabe mtu katangaza naingia kupiga na atakae thibutu kuingilia nanyooka nae huyo super power mbona kimya
Fuatilia. Russia anapoteza. Akae aachane na hii vita akae na jirani yake wazungumze, ndugu zake wazungumze. Wewe unaamini Eukraine akipigwa na Russia USA, EUROPE inapoteza lolote? Halafu russia ikiwekewa vikwazo ni faida kwa russia kiuchumi?

Mabilionea wa russia wenye mali europe na marekani na washirika wao wapo kwenye hatari tayari
 
Na Mimi naweka laki tano tumkabidhi nani?
Ukraine atachakazwa
 
Hv wadau hawa Ukraine walimfanya nn Russia mpaka huyu Putin aipge Ukraine?
 
sasa kama target yake ni USA je! Rusia ana jeuri ya kumpiga super power?
Kuna kitu kinaitwa alliance ukikijua utaelewa kwamba Russia Ana uwezo wa kumpiga US na akanyamaza (kwenye vita lazima uwe na jicho la ziada maana nyuma ya urusi kuna nchi kubwa na zenye uwezo mkubwa kivita zinazoweza kumsaidia). Japo marekani miaka hii amekataa kujihusisha na vita vya nje ya marekani kwakuwa imegharimu sana nchi yake na wapiga kura hawataki tena huo ujinga. Hata bajeti ya issue za military imepungua kwenye bajeti yake. Anachoweza ni kupiga kelele nyingiii lakini kupeleka troops Nei.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mnapigwa mnakalia maneno tu vitendo 0 mwanaume yeye haongei anapiga tu pia amewakaribisha muingie uwanjani mmekalia maneno ya mkosaji
We tuliza matakroo hapo hapo wanaume wanajipanga huko hawakurupuki wakianza ni jumla.
 
Hizo hela mnipe nikae nazo mm yaan atakayeshinda pesa ntamkabidhi mm[emoji3]ila kwanza mzitoe mnipe Mimi niwatunzie.
 
Namsikiliza bidden live hapa hawa jamaa wanafanya kazi ya kuhakikisha in long run russia anaumia kiuchumi. Hapigani huyu. View attachment 2130127
Siku hizi huyu ametoa attention yake Europe ameelekeza huko Vietnam, Korea (vinchi vya Asian tiger) na china
Pia bajet ya vita amepunguza sana wananchi hawako tayari kuendelea kuona wanajeshi wao wanakufa kwa vita vya jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…