Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Kakoje ulale vita ishaisha tayari pimbi wewe

Endelea kuota
 
Sad.

Hivi vita ina mshindi kweli? Unadhani hii ni God of War?
 
sasa kama target yake ni USA je! Rusia ana jeuri ya kumpiga super power?

China anahitaji Kuwa Super Power na Kupitia Russia ili USA uchumi yimbe China Apae lolote linawwza tokea Kaka…Ingawa hata Russia ni Super Power Kiuchumi,Ndio Maana wote wapo G-20.Kumbuka Russia ana Machungu ya Kusambarishwa In 1990s Sovieti Union na Ubepari Nchi za Magharibi.
 
Sahii KABISA, wengi hawajafikiria hili
 
Sahii KABISA[emoji4]
 
Hili ndilo lililomtoa haraka madarakani Trump kupenda penda Shari hovyo na kuyumbisha uchumi wa us
 
Uchambuz mzur Sana, uko deep Sana[emoji4][emoji106]
 
Hizo porojo haziwezi kusaidiwa chochote,
Kama NATO wanajiamini wapeleke vikosi kumsaidia UKRAINE.

Uwanja wa mapambano uko wazi, Putin keshasema atakayeingilia atakutana na kichapo.


Vinginevyo NATO wote waoga TU, hamna kitu mule.

Ndo maana hata hawataki kupokea Simu za Zelensky [emoji4]
 
Sahii KABISA,
Nmeipenda falsafa ya Putin.

Hataki unyonge KABISA[emoji4][emoji106]
 
Watu mna porojo humu.
Mpka Putin anaingia vitan mnadhan hakujua kua atawekewa vikwazo?

Msela kajipanga hzo vikwazo alijua vitatokea.. sindo michezo ya USA na wenzake.

Huyu Jasus Putin hamna kitu hajui hesabu zake anazijua mwenyewe.
North Korea anavikwazo zaidi ya mwaka 60 Sasa, na Maisha bado yanasonga.

Na Hakuna kenge anaweza kuthubutu kurusha hata sindano kwenye ardhi ya north Korea.

Wanazijua vema akili za kiduku zilivyo fyatu, ukirusha risasi yeye anarusha nyuklia anakutekeza yanabaki majivu[emoji4]
 
Vladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.
 
Wekeza akili kwenye maendeleo yako baya uko wako sogo
 
Vladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.
Safi sana mm binafsi namuunga mkono 100% japo sina hakika kama comment yako ataiyona hizi nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekan wanafki sana hawafai hata bure
 
Russia yuko na Korea kaskazini, Uchina yote, nchi zote za Kiarabu,
hapo sasa piga hesabu.
Mchina huyu anayeuwaza uchumi wake uwe imara mara dufu simuoni akiingilia huo ujinga.labda apigane vita kwa mdomo.Mwisho wa hii vita atakayepoteza ni mrusi kua maskini.Na hii sio mara ya kwanza mrusi kuanguka uku wenzake wakimchezea akili.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uchambuz mzur Sana, uko deep Sana[emoji4][emoji106]
We upo deep na unachojua ni
kuhonga mchepuko kule MMU.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Vladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.
Mrusi anajua ukreine haiko Nato kwahiyo hizo nchi zikitaka kuingilia lazima ziwe na njia mbadala.Ukreine ingekua imeshajiunga Nato kamwe asingeongea hiyo kauli.Maana ata kama ni kutumia nuclear itakua nayeye anataka kufariki.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…