Kuna route zaidi ya Moja MkuuKwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Mwanangu inaonekana machaka unayamanya sana!Ikianza safari 03:00 kutoka Dar, atalala Mpika Zambia by 22:00
Mpika atatoka 04:00 kuelekea Lusaka hadi Kafue weighbridge, ataacha njia ya Chirundu anakunja kulia kuitafuta Mazabuka hadi Livingston
Saa 22:00 atakuwa kishawasili Kazungura border, ukishaingia Botswana ni 24 hrs ruksa kuendesha
Atapita Pelapye hadi Martin Drifts kisha ataingia Limpopo river, Groblers Bridge border ya S.A
Kutoka hapo kuelekea Johannesburg ni 7-8 hrs safari inatamatika
Siku tatu unaingia kaburu
anaitwa nan mzee pale masasi?Ni Mmakua huyo. Mtu wa Masasi!.
Wewe inakuhusu nini hiyo route! Hata kama ni ndefu@ wewe basi anzisha yako ya kupitia angolaHio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Ndipo natafutiamo ugaliMwanangu inaonekana machaka unayamanya sana!
Inabeba abiria au inakuwa na mambo yake then abiria ni xtra!Mkuu hiyo chuma kumbe bado ipo, nili iulizia, kumbe inafanya kazi, najua inaanzia maeneo ya sinza.
Inabeba abiria MkuuInabeba abiria au inakuwa na mambo yake then abiria ni xtra!
Yes ni fupi lakini inausumbufu mwingiKuna route zaidi ya Moja Mkuu
Ila ya Kupitia Mozambique ndio the best, na Barabara ni Nzuri
Ni Usenge wa Maaskari wa Mozambique Mkuu, ila Kama Una vibali na huna Mawaaa, hiyo route ndio the bestYes ni fupi lakini inausumbufu mwingi
Vibali utakuwa navyo lakini rushwa utatoa tu mkuuNi Usenge wa Maaskari wa Mozambique Mkuu, ila Kama Una vibali na huna Mawaaa, hiyo route ndio the best
Ndio Usenge ninaouzungumziaVibali utakuwa navyo lakini rushwa utatoa tu mkuu
Kuondokea Athlone au Woodstock pale Home finder!!!
Ipo hiviMuundo wa seat zake ukoje maana ni kibasi kidogo na safari ni ndefu.