Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,
inawezekana ikawa ukifika baadhi ya destination unakutana na bus ya kampuni mnagawanyika, so Moja litakuwa Moja Kwa Moja south na mengine yatachukua abiria kuenda sehemu(route) nyingine
 
Hata mimi mwenyewe nimeshangaa, route ya Dar-Tunduma-Zambia-Malawi-Msumbiji-Zimbabwe-Joasberg?????
Hiyo route ni controversial. Haiwezekani Kwa kutumia basi Moja.
 
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Ingependeza kuona hiyo route kwenye ramani
 
Hata mimi nashangaa, initially Malawi then Zambia iingilie Tunduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…