Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Nashauri wangepita jimbo la Cabinda hapo Angola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri wangepita jimbo la Cabinda hapo Angola
duh,kitambo sanaMkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
Mibongo mnawazaga tu ngono. Ndo maana mko stagnant kwenye maendeleo.Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | Thanzania TimesShina
Kuna wakati zilikuwa zinaanzia Lusaka,shida ni haya mashimo ya Barabara za Tz na single lane,kama Mungu ni mwema na Ile project ya Egypt to SA ikikamilika Afrika itakuwa kama USA hebu angalieni BRICS wanakuja na kitu gani kwa sasa mtajua sasa tunaelekea wapi.Any way Mungu atupe nguvu lakini route hiyo inawezekana na Binadamu sio wazito na boda zote wakichangamka na mapepala ya uhamiaji tutasonga mbele.![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | Thanzania TimesShina
Walio makini watagindua Tz inaendelea kwa Kasi Sana Richa ya wahuni wachache kucheza na Kodi zetu,Tuko wa tisa kiuchumi Afrika,mtu anaetuinua ni Dotto Biteko na madini yake,Bashe ni kituko.Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Acha utoto,.Aliyehamua ndo nini kwanza?,
Wengine sijui huwa mnafundishwa na walimu gani kwa kweli!...
Abiria wapo wengi sana huwa wanapanda kwa kuunga safari mpaka Lusaka au Harare wakifanya mara moja kwa mwezi watajaza sana...watu wanasafiri sana na ndege route yenye abiria wengi ni JHB DAR sema wametia figisu ndege yetu kupitia Mkulima ili wafanye biashara wao tuu...Hakuna abiria wengi hivo
[emoji38][emoji38][emoji38] nimeiona sana hiyo siku hiziAliyehamua ndo nini kwanza?,
Wengine sijui huwa mnafundishwa na walimu gani kwa kweli!...
YapInatokea dar?
Mkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
shida hao kureed walinunua mtumba, nenda hapo zambia uone bus engine nyuma zinavopiga mzigo. hata wada chovu na royal luxury zinapiga zambia to South na ni engine nyumaHizi gari sio himilivu kwa njia za kiafrika afrika, kampuni ya kureed hunters walikuja nazo route Dar _Mwanza hazikudumu miezi 6.
Mifumo yake inasababisha linasababisha linanesa sana kwenye hizi barabara zetu zilizo kama matuta ya viazi
basi lina camera mbele kati na nyuma 😅Kama Mtanzania, asipomeza P2 mjiandae kulea.
Hata Malawi.Write your reply...MSUMBIJI?
Sio kweli Wazambia ndio gari zao hizo wananunua mpya kabisa Jordan bus wanazitumia miaka nenda rudi na hakuna tatizo Bara barani na huko kuna milima sana na ni umbali mrefu...Hizi gari sio himilivu kwa njia za kiafrika afrika, kampuni ya kureed hunters walikuja nazo route Dar _Mwanza hazikudumu miezi 6.
Mifumo yake inasababisha linasababisha linanesa sana kwenye hizi barabara zetu zilizo kama matuta ya viazi
Na ushafilisika kabsaaa!🤸Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
Kwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti