Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Mwaka 2007 nilienda na bus za Falcon Harare. Kuna mdada alikuja kusindikizwa na mumewe na vilio tele kuwa watamisiana.Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
Na akirudi anarudi kwa mme wake kama kawaidaMwaka 2007 nilienda na bus za Falcon Harare. Kuna mdada alikuja kusindikizwa na mumewe na vilio tele kuwa watamisiana.
Alikaa siti ya mbele kabisa ukiingia mlangoni. Nilikuwa namsikia conductor anamtongoza dada. Dada alikuwa anakaza kusema ni mke wa mtu.
Kufika Tunduma kila mtu alikuwa anatafuta ustaarabu wake wa kulala kuanza safari asubuhi.
Baadhi ikiwemo conductor na yule dada tulienda kuchukua vyumba lodge.
Kulipombazuka mke wa mtu alitokea chumbani kwa conductor kuashiria walilala wote. Na baada ya hapo mpaka tunafika Harare walikuwa kama wapenzi wa kitambo.
Kabisa. Na nina hakika alimpigia mumewe simu kuwa yupo boarder ilihali akiwa juu ya kifua cha konda.Na akirudi anarudi kwa mme wake kama kawaida
Ilikuwaje wakasepa mkuu?.
=====
Kwa mfamo kuna kibasi flani kidogo jamii ya Convoy huwa kinapiga route hiyo kinaanzia sinza pale jijini Dar hakina muda mrefu toka kianze ila sijui mpaka leo kama ipo.
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺWalio makini watagindua Tz inaendelea kwa Kasi Sana Richa ya wahuni wachache kucheza na Kodi zetu,Tuko wa tisa kiuchumi Afrika,mtu anaetuinua ni Dotto Biteko na madini yake,Bashe ni kituko.
inchi busπ€Nachoona hapa mleta mada ametaja inchi bus itayopita bila mpangilio
πππππππAiseee hakuna mkatae mgumu mbele ya chaiMwaka 2007 nilienda na bus za Falcon Harare. Kuna mdada alikuja kusindikizwa na mumewe na vilio tele kuwa watamisiana.
Alikaa siti ya mbele kabisa ukiingia mlangoni. Nilikuwa namsikia conductor anamtongoza dada. Dada alikuwa anakaza kusema ni mke wa mtu.
Kufika Tunduma kila mtu alikuwa anatafuta ustaarabu wake wa kulala kuanza safari asubuhi.
Baadhi ikiwemo conductor na yule dada tulienda kuchukua vyumba lodge.
Kulipombazuka mke wa mtu alitokea chumbani kwa conductor kuashiria walilala wote. Na baada ya hapo mpaka tunafika Harare walikuwa kama wapenzi wa kitambo.
Zamani watu tulitoka huko na Peugeot
505 mpk dar vzr kabisa unaingilia Malawi,mbeya dar
Basi hiyo kwanini isifike
Ova
Twende sauz mrembo nakulipia nauliNi sikunngapi had kufika?
Mkuu me namuelewa mwenye kampuni kwa hiyo route kama ni kweli kulingana na taarifa yao.Malawi, Mozambique,Zambia, Zimbabwe, Botswana Huu mzunguko usio na maana hauna tofauti na game la nyoka
Mkuu route fupi ya kufika south kutokea bongo kwa bus unapita nchi ngapi na zipiKulikuwa na ulazima wa kupita nchi zote hizo??
Kwanini mkuu kuna risks zipiAjipange vizuri la sivyo anapoteana
Shukurani kiongoziHebu wapigie uwaulize mkuu, bofya namba hizi ππΎ
View attachment 2608306
Ukute hana gubuuuuUkikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
Sasa mtu akae kimya njia nzima kisa ameacha mtu mzima nyuma π hio mara chache sanaπππππππAiseee hakuna mkatae mgumu mbele ya chai
Juz nmetoka mwanza Tu Arusha opposite yangu kuna dada alikua amekaa na jamaa mmoja kila mmoja katoe kwenye mambo yake nkaona wamehamiana pale
Kufikia singida dada alikua ashaisha
Ngumu unaona Tu hawa n wapenz
Sema jamaa alishuka babat
Nikajisemea mke/dem n wako ukiwa nae
Kwa mda huo Tu hapo chumban kwako
Awe mzuri sasa!Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana