Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nawaza Wanapita Msumbiji then Zambia.Msumbiji upande gani wanapita??
Ila haya magari ya masafa mbona huwa hayatembei kabisa.Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
🤣🤣Wanakwambia South African bus company wewe uanauliza ni mtanzania?
USSR
Kweli bhana tukasuuze machoTwende aunty yangu tukatoe tongo tongo
Hawa pakanyau walisomea chini ya mbibo huwa wanaudhi sanaAliyehamua ndo nini kwanza?,
Wengine sijui huwa mnafundishwa na walimu gani kwa kweli!...
Sijawahi kuyapanda ila naona yatakuwa na mwendo mzuri tuIla haya magari ya masafa mbona huwa hayatembei kabisa.
Unakuta basi linaenda Harare ila mwendo wa Kobe!!
Safi sana,![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Nilitaka nikuta-tag mkuu kwa sababu najua wewe hizi route una uzoefu nazo.Hakuna Route ya Zambia,Malawi harafu utokee Tunduma...Route za SA ni SA,Zimbabwe mnapita msumbiji Tete harafu Malawi Desza au Mwanza Border unakuja kutokea Songwe border nyingine ni Zimbabwe,Zambia chirundu au Livingstone au Kariba dam harafu Lusaka,Mpika Chinsali unakuja kutokea Tunduma...nyingine ukitaka utokee Sumbawanga unapita mpika unakata kushoto kuelekea Kasama utatokea Ziwani kidogo harafu Sumbawanga hapo sijaitaja ya Msumbiji kwa kuwa bus au magari mengi hayapiti huko kutokea Ruvuma...
hapo msumbiji hapo msipokuwa makini mnachinjwa shingo na alshabab.. kama inapita msumbiji sishauri tumieni ndege tu..![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Acha dharauNi Mmakua huyo. Mtu wa Masasi!.
Duuuh noma sana.Mkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
Hapa nipo Road natoka huko hizo border karibu nimepita zote zingine unapotea unakutana na mpaka wa Nchi ingine huko mbele tofauti na ulivyopanga unaendelea na safari miaka hiyo...Nilitaka nikuta-tag mkuu kwa sababu najua wewe hizi route una uzoefu nazo.