Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote tisa ila la kumi kuna muarabu siku nyingi miaka nenda uje ndio kashika hiyo barabara dar to Zim Dola
Best experience kwa yeyote anayetakaa kwenda south Africa aje na basi atajufunza mengi though wakati wakurudi arudi na mwewe
Pamoja sana Chief!🙏Chief kutembea nikuona mengi jaribu kutembea utaona mengi nakujifunza mengi hata fursa yakibishara nyingi utazi explore through traveling

Na mnaweza mkaachana hata safari haijafika mwishoUkikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
So nini kifanyike chief_?.barabara nyingi hazifuati ramani yenu hiyo mf hapa Tz Tanga na TANGA na MANYARA ni majiran illa hakuna barabara ya mkoa au wilaya inayoziunganisha hizo sehemu mbili
Mkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
Ikianza safari 03:00 kutoka Dar, atalala Mpika Zambia by 22:00Ni sikunngapi had kufika?
Duh sikutatu upo tu njianiIkianza safari 03:00 kutoka Dar, atalala Mpika Zambia by 22:00
Mpika atatoka 04:00 kuelekea Lusaka hadi Kafue weighbridge, ataacha njia ya Chirundu anakunja kulia kuitafuta Mazabuka hadi Livingston
Saa 22:00 atakuwa kishawasili Kazungura border, ukishaingia Botswana ni 24 hrs ruksa kuendesha
Atapita Pelapye hadi Martin Drifts kisha ataingia Limpopo river, Groblers Bridge border ya S.A
Kutoka hapo kuelekea Johannesburg ni 7-8 hrs safari inatamatika
Siku tatu unaingia kaburu
....Botswana, Mozambique, Zimbabwe, Zambia and Malawi....Malawi, Mozambique,Zambia, Zimbabwe, Botswana Huu mzunguko usio na maana hauna tofauti na game la nyoka
Inawezekana kabisa![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Inawezekana kabisa
Sema jamaa watakua wanna mabasi KILA kituo yanapokezana yaani dar to Tunduma ,abiria wanashuka wanapandishwa nyingine bila hata wao kujua yaani wanashushwa hotelini halafu tingo wanahamisha mizigo kwenye bas la aina hiyo hiyo KWA siti zile zile!
Wakifika malawi au Botswana wanapanda kingine KABISA!!hivo hivo!!
Dharau zipi? Kwamba nawadharau wachaga ambao imezoeleka wao ndiyo wamiliki???Acha dharau
Hiyo tabia walikuwa nayo wakenya na mabasi yao ya Akamba Roadways.Inawezekana kabisa
Sema jamaa watakua wanna mabasi KILA kituo yanapokezana yaani dar to Tunduma ,abiria wanashuka wanapandishwa nyingine bila hata wao kujua yaani wanashushwa hotelini halafu tingo wanahamisha mizigo kwenye bas la aina hiyo hiyo KWA siti zile zile!
Wakifika malawi au Botswana wanapanda kingine KABISA!!hivo hivo!!
Huyu anaenda kampala dar zambia zimbabwe then JHBHio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Ipo MkuuMkuu hiyo chuma kumbe bado ipo, nili iulizia, kumbe inafanya kazi, najua inaanzia maeneo ya sinza.