Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Ukitaja Lexus hiyo ni toyota, ni kama infinity na Nissan
 
Life bwana nimepambanaa wewe nimeishia kununua Pikipiki Sino ray 250cc used kwa mtu ,,wakati ndoto zilikua Polo GTI😁😁😁.

Anyway nafika ninapotaka ,ila wazee pikipiki riski sana ni vile sina namna lazima niwe na chombo wakati huu ila kila nikitoka dua na hofu nyingi balaa.
 
😁😁😁😁😁😁Sino Ray zile copy za Honda DV na Honda Click...Ni huzuniii
 
Ford ranger ni balaa ingine bwashee, Nissan Terra ilikimbiza mpaka ikasujudu yenyewe, zilikua DFPB za taasisi fulani tofauti πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu tunashhukuru Kwa kila Jambo,tuzidi kuomba MUNGU tu
 
Mkuu mimi siku ya kwanza naingia road na bike aloo sio kitoto ni nginja nginja kweli kweli
 
Mkuu ina spidi ngapi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…