mtoro wa shule
Member
- Jul 30, 2015
- 82
- 163
Wanaweza kua na injin bora lakn braking system mbov
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea Rubicon hii inayokwama kwenye mchanga beach, tukaivuta na 1Hz-Pick up??Unaijua Jeep Wrangler Rubicon wewe ?
Acha mzaha .Huo ni moto wa kuotea mbali ,chuma zina strength ya ajabu kwa kuvuta ,kumove sehemu korofi ,stability na speed pia ,gari za kiume haswa na ni moja ya gari zenye v8 engine yenye fuel efficiency kubwa na ni luxurious at the same time , full package hiyo
Hawa wanazionaga tu cruiser hawajui Rais kwanini anazitumiaSidhani, ukipanda LC 300 huwez kuwa hivo
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.
Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma ilikuwa inapenda mlima kama inashuka vileee!!!
Kwenye overtaking inakupa kujiamini mno na niliweza kuovertake magari manne bila shida( mfumo wake wa sport na sport sharp# ni kama unaendesha fighter jets)
Kama mateso kuna madereva nimewatesa Sana njiani hasa wale wanaopenda ligi.
Compact crossover Ambazo ukizifuata unapotea ni Mazda CX5
....mazda CX 5 zina balaa Sana hii gari ikikupita achana nayo usijaribu kuifuata maana Moto wake sijaona WA kuifananisha, Kwa segment ya crossover sijaona bado WA kuikalisha hii Mazda CX5
Ukiachana na land cruiser LC 200 na LC 300 kuna Prado TXL na Baba lao FORD RANGER hizi gari usijaribu kubishana nazo
madereva ambao wanapenda kutunisha misuli msijaribu kwa FORD RANGER hii ni habari nyingine,hii gari nahisi inaongoza Huko barabarani Kwa kumwaga moto maana kama V8 ilikuwa inakalishwa wewe ni Nani unataka kufata huu Moto?
Hadi namaliza safari yangu sijaona gari inakimbia kama ford ranger......
Kila kheri madereva!!!!!
Akitoka hapo anaenda kujisifia mbele kua amekupitaKuna muda unakuwa barabarani, mtu anatoka speed anakupita kumbe yeye anashindana na wewe wakati wewe huna hata habari kama aliyekupita yuko kwenye mashindano
Watu wana disrespect 1HZ, the legendary engineUnaongelea Rubicon hii inayokwama kwenye mchanga beach, tukaivuta na 1Hz-Pick up??
Serikali na Idara inayohusika na hayo mambo ipo bado enzi za mwalimu. Kagame hapo anatumia RR , Kenya wanaotumia mchanganyo include Lexus LX..Hawa wanazionaga tu cruiser hawajui Rais kwanini anazitumia
Castrol oil.....180,000/= 5 litreHuwa unafanya services baada ya kusikia shida fulani au unazingatia vigezo na masharti ya ukarabati?
Ha ha! Mkuu, nami pia uwa nikiiona hii wanayoiita bombadier lazima niitie adabu! Kiherehere mwingine ni hizo ‘Japanese Benz’. Nazo uwa nahakikisha namwachia vumbi akitaka ligi.Yaani nikiiona Hilux na wanavyopenda ligi lazima nohakikishe Nastia adabu halafu namuacha ahangaike na Lori lake.
Huyo inabidi umpe adabu. Kama hawa napenda unamwachaa mpaka afike top speed yake, kisha shwaaa.Umenikumbusha natoka Dodoma kuna jamaa ana Premio nataka kumpita analeta ligi. Kuna watu hata hawajui magari.
Unyama Sana hii ndinga
Mkoa nakoishi hii chuma ni moja tu mkoa mzima?Unyama Sana hii ndinga
Range rover ni brand tu ukitaka ujue hilo linganisha RR ya 2010 na vx ya 2010 uje na jibu, pia nchi nyingi sana viongozi wanatumia cruiser hata asia ukilinganisha na wanatumia RRSerikali na Idara inayohusika na hayo mambo ipo bado enzi za mwalimu. Kagame hapo anatumia RR , Kenya wanaotumia mchanganyo include Lexus LX..
Kwanini Turudi 2010 wakati tupo 2025 mkuu ? Compare RR ya 2025 na LC ya 2025 yukate mzizi wa fitina. RR SV 2025 na LC 300 ZX, maana zote ni top trim kwenye brand zaoRange rover ni brand tu ukitaka ujue hilo linganisha RR ya 2010 na vx ya 2010 uje na jibu, pia nchi nyingi sana viongozi wanatumia cruiser hata asia ukilinganisha na wanatumia RR
ZX ni top trim kwa LC?? Oya ee kwa upeo wako mdogo kwenye haya maswala naona unapoteza mda tu kubishana na weweKwanini Turudi 2010 wakati tupo 2025 mkuu ? Compare RR ya 2025 na LC ya 2025 yukate mzizi wa fitina. RR SV 2025 na LC 300 ZX, maana zote ni top trim kwenye brand zao
Sawa mwenye upeo mkubwa. LC top trim yake ni ipi na mie nijue?ZX ni top trim kwa LC?? Oya ee kwa upeo wako mdogo kwenye haya maswala naona unapoteza mda tu kubishana na wewe
Land cruiser Wana top trim gani zaidi?ZX ni top trim kwa LC?? Oya ee kwa upeo wako mdogo kwenye haya maswala naona unapoteza mda tu kubishana na wewe