Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Chuma haswa πŸ™Œ
Hapo mjapan kafanya kaz nzuri
 
Naijua vizuri boxer engine. Haiitwwi hivyo kwasababu iko kama box. Inaitwa hivyo kwasababu gari piston nne zi.epangwa mbili kulia mbili kushoto. The way zinazungusha engine ni kama mabondia wanarushiana ngumi hence the name boxer engine.
Kwa uelewa wake basi hata 4gr ya kwenye crown ni boxer engine πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna ford ranger iliwahi kunipita nikiwa around 170km/hr aisee kwanza nilistukia hii hapa kwenye side mirror na ilikuwa ni flat terrain lakini ili disappear si zaidi ya dakika 1 wakati barabara ilikuwa imenyoooka
Same moja na Teza...naona Raptor inakuja ile..ile ..ile..ile...ile..ile...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…