Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Mkuu unataka kuniambia premio anaweza kumpita mwenye crown? Hata uwe dereva WA formula 1 bado hautaweza...gari yenye performance kubwa ndiyo kilakitu
Tukiwa sehemu tambarare, gari yako ina maximum speed 280km/hr, na yangu ina maximum speed 260km/hr, na wote sehemu hiyo hatuwezi kuzidi spedi ya 180km/hr ambayo iko within range ya gari zetu. Nipe sababu ya kisayansi kwa nini useme gari mojawapo ya hizo mbli ni moto chini kuliko nyingine, kama hilo sio suala la dereva anaeiendesha. Nimeshawawashia moto watu na Benz zao mimi nikiwa na IST. Sikuona IST ni moto chini zaidi ya Benz, bali nilijua mimi ni dereva moto chini kuliko dereva wa Benz. Ndio maana hata mabasi Yutong kwa Yutong yanazidiana, kutegemea dereva!
 
Kwenye udereva mahiri upo Sahihi kabisaa hasa Kwa dereva ambaye ananusa hatari na anayeweza kupiga hesabu nzuri za barabarani..
 
Hii inauzwaje?
 
Exactly! Mi napenda nikisafiri ni enjoy mazingira, mwendo wa kawaida speed 100, 120 ukinyoosha sana mguu 140
Mkuu hiyo ndiyo speed tunatembea Madereva wote kwasababu ya miundombinu yetu pamoja na speed limit ya speed 50 pamoja zebra, hata hiyo speed 140 utatembea sehemu chache Sana lazima ukutane na kona Kali au malori mbele yako
 
Jeep wrangler sio gari ya kukimbia sana kama ilivyo cruiser hardtop.
Unaijua Jeep Wrangler Rubicon wewe ?
Acha mzaha .Huo ni moto wa kuotea mbali ,chuma zina strength ya ajabu kwa kuvuta ,kumove sehemu korofi ,stability na speed pia ,gari za kiume haswa na ni moja ya gari zenye v8 engine yenye fuel efficiency kubwa na ni luxurious at the same time , full package hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…