Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Mkuu nimeshuhudia juzi ford ranger akimkanda V8 kama imesimama maana Ile ni ford ranger raptor ni hatari sana
Raptor ya petrol ina power ya bhp 288 na torque ya lbs/ft 362. Hii 0-100 ni 7:90 seconds. Ya diesel ina power ya bhp 210 na torque ya lbs/ft 369. Hii 0-100 ni 9 seconds.

Toyota LC200 (D-4D V8) ina power 264 na torque ya lbs/ft 479. Hii 0-100 ni 8.90 seconds.

Hapa unaona kabisa hilo V8 aidha hakuwa kwenye ligi au dereva mzembe!
 
Ume factor in weight ya L 200 vs weight ya Ford Ranger?
Weight to power ratio nayo inachangia kwenye mwendo.
 
Hii gari achana nayo kabisa that Power 409 HP under the hood ni hatari sanaa, barabarani ni kama n..!! Nikikuacha hutaniona tena..!! Top speed 260km/hr, tofauti na BMW or Range Rover ni kwamba LC 300 is very very powerful, yaani kama matairi hayagusi chini, and very very stable barabarani, usipokuwa makini unakuta uko 220km/hr ila gari iko very very stable na utadhania hukimbii sana maana utaona unapita gari zingine kama zimesimama tu, ni kuwa makini sana ukiwa unaendesha LC 300

View attachment 3190313

Or Wald Body KityView attachment 3190317
Sasa mzee si inategemea unazungumzia BMW na Range Rover gani!

Kwa mfano, ukiweka X5M competition inakupa power ya bhp 616 na torque ya lbs/ft 553. Range Rover SV Autobiography inakupa ya bhp 542 na torque ya lbs/ft 502.

Halafu madereva wa STK wanasema LC 300 haifai kwa zile draft za haraka haraka walizozizoea barabarani kwa sababu ni nyepesi kuliko LC 200.
 
Mwezi ujao navuta hu mpira wakuu

Cc Kelsea
 
Attachments

  • IMG_2647.jpeg
    IMG_2647.jpeg
    545.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom