Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Iran, Pakistan, Afghanistan, Qatar, Brunei, Sudan, EAU, Mauritania and Saudi Arabia.

Na tena Pakistan juzi wameongeza sheria nyingine mpya ya adhabu ya kifo kwa mtu ataye mkashifu Muhammed.

Hizo nchi kuna high rate of apostasy
 
Iran, Pakistan, Afghanistan, Qatar, Brunei, Sudan, EAU, Mauritania and Saudi Arabia.

Na tena Pakistan juzi wameongeza sheria nyingine mpya ya adhabu ya kifo kwa mtu ataye mkashifu Muhammed.

Hizo nchi kuna high rate of apostasy
Utekelezaji hakuna na watu wapo wanaobadilisha dini bila kufanyia chochote.Hata hivyo tufanye ni kweli haya ukizitoa nchi hizo mbona nchi nyingi tu hazina sheria hiyo na bado rate ya watu kuhama uislamu sio kubwa kama sababu ya vitisho ?
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Ubinafsi huo, mwanaadamu ana haki yakuishi popote ilimwenguni tena si ardhini tu hata angani na baharini ili mradi tu awe na uwezo wakufanya hivyo.
 
Acheni kubishana mambo ya kipuuzi.

Ya kwenu yamewashinda mnakimbilia mambo ya nchi za watu, hapa bongo kuna mengi ya kuongelea nje ya upuuzi wa hao wazungu.

Hizo dini zao acha watwangane wao kwa wao maana hazimuhusu mtu mweusi.

Dini ni stori za wazungu na waarabu walitunga ili kuwacontrol watu, kuwagawanya na kutengeneza matabaka na vita ama sababu za kueneza ugaidi.

Hakuna ukweli ktk dini yoyote ile msipoteze muda wenu, anaebisha abishe tumuoneshe na uongo wa dini yake.

Haiwezekan dunia iwe na maelfu ya miaka alafu vijidini vya kishenzi vilivyoanzishwa juzi tu vijifanye viko sahihi kuliko imano zilizokuwepo kabla yake.

Amkeni nyie wajinga
 
Hata Tanzania tuna hukumu ya kunyongwa hadi kufa lakini leo hii ukiambiwa taja rekodi ya watu kunyongwa ni ya kutafuta.

Lakini hao wanaokutwa na hatia ya hayo makosa huwa wanahukumiwa vifungo.

Na ndivyo ilivyo huko Qatar.

Pia ukali wa adhabu pamoja na vitisho ni sababu nyingine ya watu kuogopa.

Nchi gani nyingine tofauti na hiyo yenye rate kubwa?

Nimekupa factors kubwa mbili, high birth rates pamoja na apostasy. So hiyo nchi yako nyingine unayoitaja lazima itakuwa imeangukia hapo kwenye birth rates
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Jaribu kufikiri kabla ya kuongea toka lini Sweden imekua Nchi ya kanisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani waislamu wote hao wanamjibu mpumbavu mmoja tu aliyechana kitabu kimoja tu.
Wakristo hata unyee hakuna hata mmoja atakae kupa attention
Hapo ni ujumbe kwa serikali ya Sweden kwa kulipa baraka suala hilo.
 
Mimi kuna siku nitachoma Qurani na Biblia kwa pamoja halafu nitasikiliza mihemuko yake.

Wakati huo nitakuwa nimejiandaa kutoroka.
 
Wanaongezeka kwa kuzaliana sio kuslim.
Hapo hakuna sehemu inayoonesha kuwa wanaslimu kama unavyodai humu kwenye jukwaa.

Yaani kwamba Mzungu aruke mkojo akakanyage mavi?
 
Kwasababu muislamu psychology yake inakuwa totally corrupted.
 
 
Sasa misahafu 1000 italeta suluhisho gani/nini? Mbona misahafu hiyo mmeiinua Palestina miaka elfu hakuna lolote.


SOLUTION: Tokeni nchi za watu nendeni kwa ndugu zenu Arabia, arab world


View attachment 2686533
Solution waambie waache kuvamia Nchi za watu, hao wakimbizi wa Syria wasingekuwepo kama Israel, Usa na Nato yao wasingevamia.

Asilimia 52 ya Wakimbizi Duniani wanatoka Nchi 3 Ukraine, Syria na Afghanistan wote hawa wamekimbia sababu ya Uvamizi



Nchi 5 zinazoongoza Duniani kupokea wakimbizi 3 ni za Kiisilamu
1. Uturuki
2. Iran
3. Ujerumani
4. Colombia
5. Pakistan


Bado Waisilamu wengi wana Huruma sana Kuwapokea hao wakimbizi, ingekua mimi ndio Raisi wa Nchi hizo za kiisilamu ningewakodishia Meli kabisa nikawabwaga Ulaya.

Haiwezekani waje na Mabomu yao waue Watoto, waharibu miundombinu na kila kitu, waibe Rasilimali, kama Hao Usa hadi Reserve ya Afghanistan wamichukua wao kitu ambacho kinapingana na Sheria za kimataifa. Then tabu wapate waarabu kwanini?

Waende huko huko Ulaya kama wao walikua na Guts ya kutoa wanajeshi wao kuharibu nchi za watu wawe na Guts za kuchukua responsibility kwa maovu yao waliyoyafanya.
 
Ukristo hauruhusiwi uarabuni ni bora ukutwe na bangi na Sio Bible uarabuni
Uongo, Hauruhusiwi Maeneo matakatfu ya kiisilamu yaani Hijaz kama Mecca na Madina kama Vile ambavyo hakuna uisilamu Vatican.

Ila Nchi zote za Kiarabu Egpty, Syria, Lebanon, Palestina, Iraq kuna wakristo wa Kutosha.

Hata Mkristo mwenye Hela nyingi Africa ni mwarabu.

Huwa mbadanganyana sana Humu.
 
Utakuwa mwarabu wewe
 
Kasome vizuri pew reasech kuhusu uisilamu na usiquote nusu nusu, pew research wanasema Birth rate ya waisilamu Ulaya ni watoto 2.7 ni wengi kuliko wazungu ila stil ni ndogo compare na Sub sahara ama maeneo mengine Duniani, hiyo ya watoto 12 umetunga tu wewe otherwise prove.

Pia kidunia Nchi zenye watu wengi nyingi sio za Kiisilamu, India, China, Usa etc wanazaliana kila siku.

Pia hao hao pew research wana data za kusilimu sikumbuki vizuri ila zinakaribia laki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…