Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo jamaa anaakili kuliko waliotaka kumtimua,na usikubali kudhulumiwa haki yako ya uanachama,ubanane nao hapo hapo hadi kieleweke na wajue amazako ama zao,waondoke wao wakuache wewe ama wawetayari ubanane nao.
 
Hivi ccm kitengo Cha propaganda plus spinning nini kazi yake!!?

Mtu mmoja anawashindaje wanachama million 10 plus kum spin Hadi mmfukuze uanachama!!?

So sad!
 

Ana watu nyuma yake; huu mwaka sio mwepesi
 
Awe makini tu kuna wakereketwa wanaweza kujitolea kumfukuza dunianI kama amegoma kutoka chamani🐼
 
Huyu Malisa na akili kubwa hivi alizonazo sijui kwanini alikuwa CCM!
 
hivi CCK alifukuzwa au ilikuaje mpka akawa CCM tena 🐒
 
Anachokitafuta atakipata
 
Kufukuzwa uwanachama wa CCM ni kiongozi anasimama na kusema umefukuzwa? Katiba inasemaje ya ccm?
 
anaenda mahakamani kupinga kitu gani kati ya hivi;

1. samia kuteuliwa kugombea urais 2025?

2. kufukuzwa kwake uanachama?
 
Jembe langu uta ambiwa acha uoga😆🤣
Kwenye maisha, usishindane na mtu anae kuzidi nguvu na mamlaka, especially kama hakutaki haoni shida kukufutilia mbali.
Sasa kwanini urisk pumzi yako kwa mambo ambayo yanaepukika na sio ya lazima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…