Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi.

Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Malisa ambaye anajiita kada mwandamizi wa CCM amesema mpango wake wa kwenda Mahakamani upo palepale na atakwenda kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa Urais katika uchaguzi wa Oktoba 2025.

Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa Januari 19, 2025 akidai kupitisha kwa wagombea hao (Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania Bara) na Dk Hussein Mwinyi- Zanzibar) kumekiuka Katiba ya CCM.

Mchungaji Malisa, ambaye amewahi kugombea urais, uspika na hata ubunge, alijiunga na CCM mwaka 2021 na alikuwa miongoni mwa makada tisa waliochukua fomu kugombea uenyekiti wa Chama hicho mwaka 2022.
View attachment 3233702

Soma, Pia
Huyo jamaa anaakili kuliko waliotaka kumtimua,na usikubali kudhulumiwa haki yako ya uanachama,ubanane nao hapo hapo hadi kieleweke na wajue amazako ama zao,waondoke wao wakuache wewe ama wawetayari ubanane nao.
 
Hivi ccm kitengo Cha propaganda plus spinning nini kazi yake!!?

Mtu mmoja anawashindaje wanachama million 10 plus kum spin Hadi mmfukuze uanachama!!?

So sad!
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi.

Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Malisa ambaye anajiita kada mwandamizi wa CCM amesema mpango wake wa kwenda Mahakamani upo palepale na atakwenda kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa Urais katika uchaguzi wa Oktoba 2025.

Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa Januari 19, 2025 akidai kupitisha kwa wagombea hao (Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania Bara) na Dk Hussein Mwinyi- Zanzibar) kumekiuka Katiba ya CCM.

Mchungaji Malisa, ambaye amewahi kugombea urais, uspika na hata ubunge, alijiunga na CCM mwaka 2021 na alikuwa miongoni mwa makada tisa waliochukua fomu kugombea uenyekiti wa Chama hicho mwaka 2022.
View attachment 3233702

Soma, Pia

Ana watu nyuma yake; huu mwaka sio mwepesi
 
Awe makini tu kuna wakereketwa wanaweza kujitolea kumfukuza dunianI kama amegoma kutoka chamani🐼
 
Mzee Malisa kasema utaratibu wa katiba ya ccm hujafuatwa kama ifuatayo;-
  • Samia hajachukua fomu wala kulipia fomu ilihali watu na taasisi zilimchangia mamilion ya kuchukua fomu- hata ile fomu moja tuliyokua tunaimbiwa haijatolewa
  • Hajajaza fomu yeyote ile kuomba kugombea
  • Hana wadhamini wowote kutoka mikoa 20
  • Hakurudisha fomu wala hakuna vikao vilivyokaa kuchuja majina ya wagombea au mgombea aliyegombea.
Ametoa rai kwa mwanachama yeyote anayetaka kuchukua fomu ya urais akachukue sababu ana-haki hiyo

Amesema mabadiliko yana gharama na yuko tayari kuingia hiyo gharama mpaka sahivi ameshatishiwa sana na watu wengi
Huyu Malisa na akili kubwa hivi alizonazo sijui kwanini alikuwa CCM!
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi.

Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Malisa ambaye anajiita kada mwandamizi wa CCM amesema mpango wake wa kwenda Mahakamani upo palepale na atakwenda kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa Urais katika uchaguzi wa Oktoba 2025.

Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa Januari 19, 2025 akidai kupitisha kwa wagombea hao (Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania Bara) na Dk Hussein Mwinyi- Zanzibar) kumekiuka Katiba ya CCM.

Mchungaji Malisa, ambaye amewahi kugombea urais, uspika na hata ubunge, alijiunga na CCM mwaka 2021 na alikuwa miongoni mwa makada tisa waliochukua fomu kugombea uenyekiti wa Chama hicho mwaka 2022.
View attachment 3233702

Soma, Pia
hivi CCK alifukuzwa au ilikuaje mpka akawa CCM tena 🐒
 
Anachokitafuta atakipata

Kufukuzwa uwanachama wa CCM ni kiongozi anasimama na kusema umefukuzwa? Katiba inasemaje ya ccm?
 
anaenda mahakamani kupinga kitu gani kati ya hivi;

1. samia kuteuliwa kugombea urais 2025?

2. kufukuzwa kwake uanachama?
 
Jembe langu uta ambiwa acha uoga😆🤣
Kwenye maisha, usishindane na mtu anae kuzidi nguvu na mamlaka, especially kama hakutaki haoni shida kukufutilia mbali.
Sasa kwanini urisk pumzi yako kwa mambo ambayo yanaepukika na sio ya lazima??
 
Back
Top Bottom