Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo majitu ya ccm yote ni majinga majinga.
 
Watu determine Kama hawa labda uwateke, wanaweza Kuwa chachu ya mageuzi
 
“Tutaenda mpaka tutafika Mahali” -

Hayupo mwenyewe huyu! Nilikuwa naamini Anguko la Ccm linakuja, nilikuwa nautafuta mlango, ninaanza kuuona’!!!!!
 
Mzee katema madini ya maana sana, na yupo smart sana upstairs.

The main problem with this country chini ya sisiem ni kuwa watu smart hawatakiwi, na wengi wao huko juu walishabandikwa jina la uhaini
 
Pengine huyo Mchungaji ni moja ya wana ccm wachache sana wanao jielewa na wenye akili timamu lakini bahati mbaya sana kwake watu wa aina yake ni maadui wakubwa sana wa ccm kwa sababu wao mtaji wao ni watu wapumbavu, wajinga wajinga wasiojielewa na wanao pelekwa kama bendera kwa sababu hawawezi kuhoji na hawana uwezo wa kutengeneza hoja kama alivyo yule mzee wao anaefanana na nyati
 
Ameshafukuzwa anajifariji Kwa maumivu 😂😂
 
“Tutaenda mpaka tutafika Mahali” -

Hayupo mwenyewe huyu! Nilikuwa naamini Anguko la Ccm linakuja, nilikuwa nautafuta mlango, ninaanza kuuona’!!!!!
Locuta causa Finita ! Hiyo ni kwa kilatini lakini 🙄 !

Ngoja Tusubiri tuone kwa CCM inatafsirikaje !! 😳 !
 
huyu mzee kuna anachokitafuta anadhani chadema au vyama vingine vitamsaidia yakimkuta huyu anakesi za kujibu muda si mrefu anataka kuwapa shida tu nduiguzake kuja kumuangalia magereza mwaka mzima
 
huyu mzee kuna anachokitafuta anadhani chadema au vyama vingine vitamsaidia yakimkuta huyu anakesi za kujibu muda si mrefu anataka kuwapa shida tu nduiguzake kuja kumuangalia magereza mwaka mzima
Freedom of expression ??!
Au ???! 😳
 
Watamteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…