Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

Malipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Ni sawa lakini ukishuhudia mtu aliyekuonea, aliyekutesa, aliyetaka kukuua akitangulia yeye kwanza yani inaleta laha moyoni
 
..siku zote adui anatakiwa akutangulie kufa.
Kweli kabisa hata Yesu Ni adui wa shetani alimtangulia.

Sasa na wale waliokufa huko kibiti walimtangulia Nani?

Na watoto wachanga wanaokufa wanawatungulia maadui wazazi wao bila shaka.
 
Malipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Au siyo ndugu Mataga, Mungu fundi wewe, eti atawale milele na Mungu amwangalie tu
 
Ni sawa lakini ukishuhudia mtu aliyekuonea, aliyekutesa, aliyetaka kukuua akitangulia yeye kwanza yani inaleta laha moyoni
Kabisa kabisa yaani na hapo wewe unakuwa hufi milele.
 
Au siyo ndugu Mataga, Mungu fundi wewe, eti atawale milele na Mungu amwangalie tu
Mungu angemwachaje wakati yupo aliemuachia ikulu huko Twitter Republic anatawala milele na wafuasi wake wa mioyoni?
 
Kweli kabisa hata Yesu Ni adui wa shetani alimtangulia.
Sasa na wale waliokufa huko kibiti walimtangulia Nani? Na watoto wachanga wanaokufa wanawatungulia maadui wazazi wao bila shaka.
Siyo kila mtu ana maadui wa kujitakia, sasa watoto wachanga maadui zao ni wazazi wao?? Akili gani hizi tena?
 
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"

Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.

Soma hapa:

1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa

3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi

4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Mungu angemwachaje wakati yupo aliemuachia ikulu huko Twitter Republic anatawala milele na wafuasi wake wa mioyoni?
Kwani huyo wa Twitter Republic ndiye mlikuwa mnampia chapuo atawale milele?
 
Aidan wa Twaweza naye bado hajapewa passport yake.

Nadhani atarudishiwa pia.
Huyu kaka Aida namwombea awe na moyo mvumilivu. Majitoleo yake yatapokelewa na Mungu na tuzo pia ni hapahapa duniani. Lakini huyu aliyezoea kusema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" hakupenda kusikia ukweli - bila shaka - ukweli unauma
 
Sasa kama alinyang'anywa na makachero lawama ndo abebeshwe Dkt John Pombe Magufuli?

Mtawala asipokemea basi lawama zote huishia kwake siyo wale watu wadogo.

Hivyo ni muhimu mtawala wa juu kabisa na wale wote wenye mamlaka kukemea mapungufu yanayofanyika ktk kipindi cha utawala wao haijalulishi matendo hayo yamefanywa na mdogo au mkubwa .
 
Back
Top Bottom