Rule no 1😆
IF YOU HAVE TO WIN, YES!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rule no 1😆
Ni sawa lakini ukishuhudia mtu aliyekuonea, aliyekutesa, aliyetaka kukuua akitangulia yeye kwanza yani inaleta laha moyoniMalipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Eti utu na hakiShujaa wa Afrika alipenda utu!huu ni utapeli
Kweli kabisa hata Yesu Ni adui wa shetani alimtangulia...siku zote adui anatakiwa akutangulie kufa.
Au siyo ndugu Mataga, Mungu fundi wewe, eti atawale milele na Mungu amwangalie tuMalipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Kabisa kabisa yaani na hapo wewe unakuwa hufi milele.Ni sawa lakini ukishuhudia mtu aliyekuonea, aliyekutesa, aliyetaka kukuua akitangulia yeye kwanza yani inaleta laha moyoni
Mungu angemwachaje wakati yupo aliemuachia ikulu huko Twitter Republic anatawala milele na wafuasi wake wa mioyoni?Au siyo ndugu Mataga, Mungu fundi wewe, eti atawale milele na Mungu amwangalie tu
Siyo kila mtu ana maadui wa kujitakia, sasa watoto wachanga maadui zao ni wazazi wao?? Akili gani hizi tena?Kweli kabisa hata Yesu Ni adui wa shetani alimtangulia.
Sasa na wale waliokufa huko kibiti walimtangulia Nani? Na watoto wachanga wanaokufa wanawatungulia maadui wazazi wao bila shaka.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.
Soma hapa:
1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa
3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi
4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
HAUMITHILIKIUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Kwani huyo wa Twitter Republic ndiye mlikuwa mnampia chapuo atawale milele?Mungu angemwachaje wakati yupo aliemuachia ikulu huko Twitter Republic anatawala milele na wafuasi wake wa mioyoni?
Hakuna askofu wa katoliki anaweza kukubali huo ujingaHuyo askofu alikataa kuwa Mnyonge????
Sasa tunamzikaje rais wetu kwa kutumia askofu asiyekuwa raia?Kwani kuzika mtu kunahitaji pass ya kusafiria.
Huyu kaka Aida namwombea awe na moyo mvumilivu. Majitoleo yake yatapokelewa na Mungu na tuzo pia ni hapahapa duniani. Lakini huyu aliyezoea kusema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" hakupenda kusikia ukweli - bila shaka - ukweli unaumaAidan wa Twaweza naye bado hajapewa passport yake.
Nadhani atarudishiwa pia.
Sasa kama alinyang'anywa na makachero lawama ndo abebeshwe Dkt John Pombe Magufuli?
Kama kweli uliwahi kupita shule tafuta palipoandikwa askofu hatakufa. Wewe, mimi, sote tutakufa. Tatizo ni kujifanya mungu-mtu kwa ulevi wa madaraka.Kwa hiyo Askofu yeye hatokufa? Au yeye atakuwa wa mwisho kufa?