Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

Mabilion tunaibiwa kila mwaka yenye madhara ya kudumaza maendeleo ya Watanzania milioni 60 bila kuwachukulia hatua yoyote badala yake tunafuatilia mambo yanayotendeka faraghani. Ni aibu kwa vyombo vyetu vya usalama.
 
Mbona aliyemlawiti na yeye hajashitakiwa, wala kuhukumiwa kifungo ili kutoa funzo kwa watu wenye hizo tabia?

cocastic una cha kujifunza hapa.
 
Huku Zanzibar Gereza wanaita chuo Cha mafunzo maana yake ukifungwa ukatumikia kifungo ukaja kutoka basi serikali inategemea ubadilike na ndio thima au lengo la kwenda jera sasa kwa hii scenario ya bwana Selemani sidhani kama miaka 30 ni fundisho kwake sana sana wanaenda kumkomaza awe konk zaid,nadhani Kuna umuhimu wa kuangalia namna nyingine Bora ya ku deal na Hawa watu wa Upinde.

ONYO: SIUNGI MKONO USHOGA NA USAGAJI
 
Hata ya wanawake hakuna usalama kwake na kwa hao wanawake atakaokuwa nao jela.

Pengine patahitajika kuwepo jela mahsusi kwa jamii ya watu kama hawa
Ni kweli, inasemekana kuwa huko amerika, ilitokea hawa wanaume wanaoamua wawe identified kama wanawake na wanajibadili kwa kujiwekea matiti ila mashine inafanya kazi, ilitokea akafungwa kwenye gereza la wanawake baada ya muda aliwatia mimba wanawake watatu kwa mpigo.

Sasa sijui ni kweli au chai.
 
Maadam watu hawa wapo miongoni mwa jamii; na wala hawakuanza leo, ni dhahiri kwamba kutakuja wakati jamii italazimika tu kuwavumilia. Hili ni swala la muda tu, ni lini jamii itakuwa tayari kuwavumilia.

Ni vigumu sana kuzuia jambo lililomo ndani ya jamii.
 
Hapana haitakiwi kuvumiliwa hii Hali bali itafutwe njia nzur ya ku deal nao ikiwemo kunyongwa.
 
Hapana haitakiwi kuvumiliwa hii Hali bali itafutwe njia nzur ya ku deal nao ikiwemo kunyongwa.
Unaamini "kunyonga" kutawaondoa wote, au itakuwa ni njia tu ya kuwaficha?

Itungwe sheria ya kuzuia wasijitangaze? Wafanye mambo yao kimya kimya, mbona siku zote wamekuwepo lakini hapakuwepo na kelele nyingi dhidi yao?

Wanachoharibu sasa hivi ni kujitokeza waziwazi ili na wao jamii iwatambue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…