Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

Hii issue itabackfire na badala ya kusaidia kuondoa tatizo italizidisha kabisa. Upinde hufuatilia wenzao wanavyotendwa, muda si mrefu utasikia wanaanzisha kampeni popote. Ukitaka kupambana na watu kama hawa ni kimyakimya sio kwa njia ya mahakama ambayo ni wazi taarifa zinajulikana.
 
Ili kuokoa human race, adhabu kama hizi itabidi zitumike tu. Kama ambavyo ukitaka kujiua unashitakiwa na kuhukumiwa, kila anayetaka kumiss use viungo vyake anapata cha mtema kuni
 
Nimeona comment za wengi hapa nadhani mna sikia tu stori za mtaani lakini hata maisha ya gerezani hamyajui kabisa

Gerezani hakuna kosa linaogopeka kama 'kupigana miti' aisee msiombe mkutwe na hili kosa mtajuta maisha yenu yote ya gerezani, hata wanaofanya ni kwa Siri sana na wanakua wamekubaliana, mambo ya kulazimishana hakuna

Katika harakati za kitafutaji nimeshawahi kukaa wiki 6 huko so naelewa haya mambo, kuna jamaa alikua anajifanya Mende alimuomba mwenzake Tako jamaa akaenda kumripoti, hapo kamuomba tu kiroho safi bila hata kumlazimisha

Aisee jamaa akawa isolated mkuu wa magereza akawaamuru askari wake baada ya kusign shift ya kuripoti kazini Kila askari anamlamba jamaa aliyeomba Tako virungu vitano vya ugoko, jamaa alipigwa virungu ikafika mahali wakawa hawampigi tena wakimuona wanacheka tu wanamwambia we mfiraji tutakua

Jamaa alirudi hawezi hata kutembea miguu imetepeta, sasa fikiria hapo no kosa la kuomba Tako tu hata hajapewa

Jela hakuna ujinga wa kulana ovyo labda mpende wenyewe tena mjifiche hasa ila ukija mtaani watu wanadhani jela ni mwendo wa kulana kimasihara tu
Watanzania wengi hawajawahi kanyaga magereza
 
Vzuri sana, na hao walokua wakimlawiti angewataja pia
Waliomlawiti wamekana kosa so wamerudishwa rumande.yy alikiri kuingiliwa na wanaume tofautitofauti so ilibidi asomewe vifungu vya sheria akaanze kunyea debe.
 
Was
Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi/Mfawidhi Innocent Sotter mbele ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Salehe Manga baada ya Mshtakiwa kukiri kutenda kosa hilo, kwa nyakati tofauti baada ya kuruhusu Wanaume mbalimbali kumuingilia kinyume na maumbile.

Mshitakiwa huyo ameadhibiwa kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kinyume na kifungu 154(1) (c) cha kanuni ya adhabu sura na 16 iliyofanyiwa marejeo ya mwaka 2022.

Baada ya Mshtakiwa Selemani kutiwa hatiani upande wa mashtaka haukuwa na kumbukumbu ya makosa ya awali lakini waliomba Mahakama imuadhibu kwa mujibu wa kifungu cha 154 cha kanuni ya adhabu ili iwe fundisho kwake na onyo kwa Jamii nzima kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka na kusababisha mmomonyoko wa maadili.

Aidha Mshtakiwa alipewa nafasi ya kujitetea ambapo aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa atajirekebisha, Washitakiwa wengine wawili walikana kutenda makosa kama hayo a kurudishwa rumande baada ya kukosa Wadhamini na shauri lao litaendelea March 27, 2023 kwa chambuzi wa hoja za awali.

Chanzo: Millard Ayo
Waseme tu wamemhukumu Shoga😅😅😅
 
Back
Top Bottom