Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sikufungwa mkuu, nilikaa mahabusu siku 28.Nilikuwa nakuheshimu sana, kumbe nawewe umewahi kufanya makosa ya kwenda jela [emoji15]
By the way.... hata wanao heshimika na mamlaka, makasisi na watu wengine weeengi wamewahi kukaa jela mkuu.
Jela haina mwenyewe na ukibisha kamuulize Rugemalila, Seth, Mandela, Kambona, Rage, Sabaya, Mbowe, Lema nakadhalika nakadhalika