Nimeona comment za wengi hapa nadhani mna sikia tu stori za mtaani lakini hata maisha ya gerezani hamyajui kabisa
Gerezani hakuna kosa linaogopeka kama 'kupigana miti' aisee msiombe mkutwe na hili kosa mtajuta maisha yenu yote ya gerezani, hata wanaofanya ni kwa Siri sana na wanakua wamekubaliana, mambo ya kulazimishana hakuna
Katika harakati za kitafutaji nimeshawahi kukaa wiki 6 huko so naelewa haya mambo, kuna jamaa alikua anajifanya Mende alimuomba mwenzake Tako jamaa akaenda kumripoti, hapo kamuomba tu kiroho safi bila hata kumlazimisha
Aisee jamaa akawa isolated mkuu wa magereza akawaamuru askari wake baada ya kusign shift ya kuripoti kazini Kila askari anamlamba jamaa aliyeomba Tako virungu vitano vya ugoko, jamaa alipigwa virungu ikafika mahali wakawa hawampigi tena wakimuona wanacheka tu wanamwambia we mfiraji tutakua
Jamaa alirudi hawezi hata kutembea miguu imetepeta, sasa fikiria hapo no kosa la kuomba Tako tu hata hajapewa
Jela hakuna ujinga wa kulana ovyo labda mpende wenyewe tena mjifiche hasa ila ukija mtaani watu wanadhani jela ni mwendo wa kulana kimasihara tu