Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

Hakika Rubein kama ile kesi ikaenda mahakamani... 30 zitamhusu
 
Hii ndiyo namna nzuri ya kudeal na hawa wapuuzi bila makelele, kumbe sheria tunazo lakini tunawapigia kelele wazungu kana kwamba wao ndiyo wametuletea hawa mashoga wakati tunaishi nao mitaani na wanavunja sheria za nchi
Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi/Mfawidhi Innocent Sotter mbele ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Salehe Manga baada ya Mshtakiwa kukiri kutenda kosa hilo, kwa nyakati tofauti baada ya kuruhusu Wanaume mbalimbali kumuingilia kinyume na maumbile.

Mshitakiwa huyo ameadhibiwa kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kinyume na kifungu 154(1) (c) cha kanuni ya adhabu sura na 16 iliyofanyiwa marejeo ya mwaka 2022.

Baada ya Mshtakiwa Selemani kutiwa hatiani upande wa mashtaka haukuwa na kumbukumbu ya makosa ya awali lakini waliomba Mahakama imuadhibu kwa mujibu wa kifungu cha 154 cha kanuni ya adhabu ili iwe fundisho kwake na onyo kwa Jamii nzima kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka na kusababisha mmomonyoko wa maadili.

Aidha Mshtakiwa alipewa nafasi ya kujitetea ambapo aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa atajirekebisha, Washitakiwa wengine wawili walikana kutenda makosa kama hayo a kurudishwa rumande baada ya kukosa Wadhamini na shauri lao litaendelea March 27, 2023 kwa chambuzi wa hoja za awali.

Chanzo: Millard Ayo
 
Huku Zanzibar Gereza wanaita chuo Cha mafunzo maana yake ukifungwa ukatumikia kifungo ukaja kutoka basi serikali inategemea ubadilike na ndio thima au lengo la kwenda jera sasa kwa hii scenario ya bwana Selemani sidhani kama miaka 30 ni fundisho kwake sana sana wanaenda kumkomaza awe konk zaid,nadhani Kuna umuhimu wa kuangalia namna nyingine Bora ya ku deal na Hawa watu wa Upinde.

ONYO: SIUNGI MKONO USHOGA NA USAGAJI
Inasemekana ni mdg ake kazumari jemedari said

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu kama Hawa ni Bora kuuwawa kimya kimya yaani asijulikane kamahupo hai au kama.

Kesho utasikia huko huru Kwa msamaha wa SASHA
 
Kuna miaka flani niliwahi kukaa gereza la butimba, hawa mshoga niliona wanatengwa na wanakua kwenye mahabusu zao tofauti na wengine. Pia walikua wanalindwa 24/7
hii nayo ni adhabu tosha kama kumkatia supply ya unga teja watiane vidole wenyewe
 
Sheria ni Sheria tu. Ukivunja Sheria utahukumiwa. AMEFANYA jinai Wacha ahukumiwe kutokana na Sheria zinavyosema.
 
Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi/Mfawidhi Innocent Sotter mbele ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Salehe Manga baada ya Mshtakiwa kukiri kutenda kosa hilo, kwa nyakati tofauti baada ya kuruhusu Wanaume mbalimbali kumuingilia kinyume na maumbile.

Mshitakiwa huyo ameadhibiwa kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kinyume na kifungu 154(1) (c) cha kanuni ya adhabu sura na 16 iliyofanyiwa marejeo ya mwaka 2022.

Baada ya Mshtakiwa Selemani kutiwa hatiani upande wa mashtaka haukuwa na kumbukumbu ya makosa ya awali lakini waliomba Mahakama imuadhibu kwa mujibu wa kifungu cha 154 cha kanuni ya adhabu ili iwe fundisho kwake na onyo kwa Jamii nzima kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka na kusababisha mmomonyoko wa maadili.

Aidha Mshtakiwa alipewa nafasi ya kujitetea ambapo aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa atajirekebisha, Washitakiwa wengine wawili walikana kutenda makosa kama hayo a kurudishwa rumande baada ya kukosa Wadhamini na shauri lao litaendelea March 27, 2023 kwa chambuzi wa hoja za awali.

Chanzo: Millard Ayo
Sasa Amber Rutty na yule mume wake kwanini hawakufungwa miaka 30 na ushahidi upo tena wa video?

Hii habari ikiwafikia mabeberu, tutaanza kula mahindi ya njano sasa hivi
 
Back
Top Bottom