Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi yule dogo aliyechoma picha,alishapatikana?
 
Naona leo unafurahaa baada ya Israel kuachia msosi kwa wingi, hema na mobile homes kuingia Gazza.
Aaaah wapi, huku Palestine ya Gaza msosi tunao wa kutosha chini kwa chini, tunakula tunashiba kuanzia kachori, tende, biryani hadi chips mayai... tukitoka huko mashimoni tunanawa na kujifutamidomo kama hatujala vile, ni kutembeza mjegejo tu, ni mjegejo tu hadi IDF imesalimu amri...

Si mnaona mateka wenu walivyokuwa wamenawiri?
 
Wewe chizi,
Mohamad alikimbia maka akaemda madini, Yesu alikimbia kutoka betherehem akaenda Misri uanadhani Mungu hakuwepo nao!
Basi mwambie mchungaji akimbilie Ubelgiji
 
Ule mchezo wao waliokuwa wakiwafanyia CHADEMA na Wapinzani wengine sasa umewarudia wenyewe😆😆
 
Sasa si aliyataka mwenyewe analalamika nini?😁
 
Mchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Yusufu baba wa kufikia wa Yesu Kristo alimriwa kuikimbia nchi yake kwenda Misri ili kuyaponya maisha ya mtoto Yesu.
Nabii Samuel wakati ameamriwa kwenda kumpaka mafuta Daudi kama mfalme mtarajiwa wa Israeli aliogopa kuawa na mfalme aliyekua madarakani, Mungu alimpa njia ya namna ya kujilinda; wapo na wengine wengi. Swali; hawakua na ulinzi wa Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…