Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

Dah
Kichwa alikipata wapi?
Sehemu 5 za siri za wanawake aliua wanawake wa5!?
ukienda makaburini usiku ukachimba maiti bado mbichi imezikwa jana haupati, msiangalie upande wa kuua tu hata wewe ukienda makaburini kwa waliozikwa jana, juzi unavupata
 
Mchawi huyo. Sehemu za siri 5 zilikuwa mbichi au zimekauka?
 
Haki ya kimahakama iheshimiwe kupanga ni kuchagua ntarudi kuchangia zaidi baadae
 
Yani Kati ya kesi ambazo huwa sipendi watuhumiwa waachiwe huru bas ni za mauaji.... hawa watu hawastahili kuish na binadamu.
sishabikii kuwa na viungo vya binadamu lkn mitazamo yenu si sahihi wapi jamaa kaonekana aliua, viungo vya binadamu ukienda makaburini kwenye makaburi ya watu waliozikwa jana, juzi unapata viungo vyote unavyotaka vikiwa vibichi
 
Kwa dhana hiyo hiyo, akikosa viungo hivyo makaburini anaweza vipata wapi kwingine?
 
ivi makaburini unakosaje mamilion ya makaburi watu wanazikwa kila siku,mtu akishakufa anaenekanaga hana thaman makaburi yapo wazi tu ulinzi hamna ndio kwanza hata watu wanaogopa kupita ukienda usiku unajichukulia tu kila kiungo
 
Alafu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.

Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.

MWANANCHI
Alafu kuna watu wanasema uchawi haupo..

We ulisikia wapi kesi ya jinai inakuwa ya uhujumu uchumi ghafla

Mshtakiwa amekutwa na vielelezo vya waziwazi ila anaachiwa kwa kukosekana ushahidi.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.

Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.

MWANANCHI
Aseee
 
Kwa dhana hiyo hiyo, akikosa viungo hivyo makaburini anaweza vipata wapi kwingine?
Ndio maana mahakama imekosa ushahidi baada ya kuitisha kesi mara tano. Kama serikali ina ushahidi ameua ingepeleka kusaidia mahakama. Hakuna raia au polisi alipeleka ushahidi wa mauaji. Labda wakitumia vielelezo vilivyoletwa napo hatujui kajiteteaje labda kasema katoa makaburini. Hatujui hasa nini kimetokea
 
Kwa maana hiyo kukutwa na viungo vya binadam sio kosa kisheria?
 
Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Toa Ushahidi kuwa fuvu ni la binadamu? Thibitisha!

Toa Ushahidi kiungo cha sehemu ya siri ni cha mwanamke,Thibitisha!

Kuna kesi ukiziangalia ni rahisi ila ukipewa uiendeshe Hata kama wewe ni hakimu Utafuta kesi au kumuachia Huru mshtakiwa.
 
Duuh[emoji849]
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Hakuna cha ndumba wala nn huyu dogo napajua hadi kwao kijijini kwetu Mwamitumai nimemaliza f4 2012 nikamuacha f1 kwao hawana kitu kwanza Baba yake alifariki kwa pressure baada ya dogo kukamatwa na hakuna hata mmoja aliyekuwa anamshughulikia atoke bahati tu imemuangukia
 
Back
Top Bottom