Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sehemu za siri za wanawake au matiti? Mbususu inatolewaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi ivi vyeo ni uvujifu wa pesa ivi mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka(DPP) nani anahusika na kushtaki makosa ya jinai au anaemiliki mafaili ya makosa ya jinai naniDCI na DPP ndiyo wagawane hiyo M5!? Mbona hiyo pesa ni ndogo sana, watu wanafanya plea bargain ya over Biliones kwa DPP na bado wengine anawapiga chini na pesa zao!!
Hizo ni ndumbari.Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
DCI naona yeye anakamata na kupeleleza, alafu DPP yeye anaanda Mashitaka ya mtuhumiwa na kumpeleka Mahakamani!!ivi ivi vyeo ni uvujifu wa pesa ivi mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka(DPP) nani anahusika na kushtaki makosa ya jinai au anaemiliki mafaili ya makosa ya jinai nani
Mm mwenyew ndo bado cielew alikuwa anayatumia kivipAsee..
Kumbe unamjua. Hayo mafuvu na mbususu za watu huwa anatumia kwa kazi gani?!