ukienda makaburini usiku ukachimba maiti bado mbichi imezikwa jana haupati, msiangalie upande wa kuua tu hata wewe ukienda makaburini kwa waliozikwa jana, juzi unavupataDah
Kichwa alikipata wapi?
Sehemu 5 za siri za wanawake aliua wanawake wa5!?
sishabikii kuwa na viungo vya binadamu lkn mitazamo yenu si sahihi wapi jamaa kaonekana aliua, viungo vya binadamu ukienda makaburini kwenye makaburi ya watu waliozikwa jana, juzi unapata viungo vyote unavyotaka vikiwa vibichiYani Kati ya kesi ambazo huwa sipendi watuhumiwa waachiwe huru bas ni za mauaji.... hawa watu hawastahili kuish na binadamu.
Kwa dhana hiyo hiyo, akikosa viungo hivyo makaburini anaweza vipata wapi kwingine?sishabikii kuwa na viungo vya binadamu lkn mitazamo yenu si sahihi wapi jamaa kaonekana aliua, viungo vya binadamu ukienda makaburini kwenye makaburi ya watu waliozikwa jana, juzi unapata viungo vyote unavyotaka vikiwa vibichi
ivi makaburini unakosaje mamilion ya makaburi watu wanazikwa kila siku,mtu akishakufa anaenekanaga hana thaman makaburi yapo wazi tu ulinzi hamna ndio kwanza hata watu wanaogopa kupita ukienda usiku unajichukulia tu kila kiungoKwa dhana hiyo hiyo, akikosa viungo hivyo makaburini anaweza vipata wapi kwingine?
Alafu kuna watu wanasema uchawi haupo..Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.
MWANANCHI
AseeeMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.
MWANANCHI
Ndumba hiyo mkuu!,au Hakimu kapigwa mkwala usiku, unajikuta tu umelala bafuni.Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Hii kaliAlafu
Alafu kuna watu wanasema uchawi haupo..
We ulisikia wapi kesi ya jinai inakuwa ya uhujumu uchumi ghafla
Mshtakiwa amekutwa na vielelezo vya waziwazi ila anaachiwa kwa kukosekana ushahidi.
Na kwa nini avitoe??watu wengi wanaangalia jamaa lbda aliua mtu kumbe alivitoa tu makaburini kwenye makaburi ya wafu
raisi wa mawe😂😂Hebu tukapekue bungeni huenda yupo aliyewezeshwa.
Ndio maana mahakama imekosa ushahidi baada ya kuitisha kesi mara tano. Kama serikali ina ushahidi ameua ingepeleka kusaidia mahakama. Hakuna raia au polisi alipeleka ushahidi wa mauaji. Labda wakitumia vielelezo vilivyoletwa napo hatujui kajiteteaje labda kasema katoa makaburini. Hatujui hasa nini kimetokeaKwa dhana hiyo hiyo, akikosa viungo hivyo makaburini anaweza vipata wapi kwingine?
Kwa maana hiyo kukutwa na viungo vya binadam sio kosa kisheria?Ndio maana mahakama imekosa ushahidi baada ya kuitisha kesi mara tano. Kama serikali ina ushahidi ameua ingepeleka kusaidia mahakama. Hakuna raia au polisi alipeleka ushahidi wa mauaji. Labda wakitumia vielelezo vilivyoletwa napo hatujui kajiteteaje labda kasema katoa makaburini. Hatujui hasa nini kimetokea
Toa Ushahidi kuwa fuvu ni la binadamu? Thibitisha!Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Au vyote biwili Kwa pamoja aisee.Duuh[emoji849]
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Hakuna cha ndumba wala nn huyu dogo napajua hadi kwao kijijini kwetu Mwamitumai nimemaliza f4 2012 nikamuacha f1 kwao hawana kitu kwanza Baba yake alifariki kwa pressure baada ya dogo kukamatwa na hakuna hata mmoja aliyekuwa anamshughulikia atoke bahati tu imemuangukiaDuuh[emoji849]
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!