Mtu anaweza kataa tu akasema yeye hajui kama fuvu ni la binadamu.Kwa maana hiyo kukutwa na viungo vya binadam sio kosa kisheria?
Zilikuwa zimekaushwa matiti vingine cjuiMchawi huyo. Sehemu za siri 5 zilikuwa mbichi au zimekauka?
utakuta MAJAMBAZI YALIYOAJIRIWA[emoji61]yalimbambikia raia mwaminifu {Salum Mkonja} ili wamtoe mtu waoMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.
MWANANCHI
Kasome sheria kwanza utaelewa kwanini kesi imefutwa. Sheria ni sayansi ina kanuni zake, usipozifuata hata km una haki hutaipata. Ndio maana mnaambiwa mtafuteni sana elimu angalia msimwache akaenda zake.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.
MWANANCHI
Mbona rahis sana, wanaodakwa na Nyara za serikali mbona mambo inamalizika kwa mvua? Nakwambia tena hawa watu hawastahil kuish na binadam..Mtu anaweza kataa tu akasema yeye hajui kama fuvu ni la binadamu.
Kesi kama hiyo mtu anaikataa tu,kazi inabaki kwenu mnaoshkia bango kumuaminisha HAKIMU kuwa mwamba ana HATIA,otherwise hakimu anamtema!
Mahakama haitoi hukumu kwa kusikia. Hata ukienda na kichwa cha mtu hiki hapa kinatoa damu, hakimu hasemi ni kichwa cha mtu. Daktari mwenye taaluma yake ndio aseme kile ni kitu gani. Sasa hakimu kashasema mpaka wapeleke vielelezo ambavyo ina maana hawajapeleka, kwahiyo hakimu hajui vile vinavyosemekana ni viungo vya mtu na fuvu ni vitu ganiKwa maana hiyo kukutwa na viungo vya binadam sio kosa kisheria?
Hakuna kitu kinachoitwa bahati. Always you let things happen. Lazima Kuna kitu, suala la ndumba linaweza kuwa limechukua nafasi kubwa, kwanza kushughulika na biashara hiyo siyo kitu Cha kawaida Kwa akili hizi na bila ndumba.Hakuna cha ndumba wala nn huyu dogo napajua hadi kwao kijijini kwetu Mwamitumai nimemaliza f4 2012 nikamuacha f1 kwao hawana kitu kwanza Baba yake alifariki kwa pressure baada ya dogo kukamatwa na hakuna hata mmoja aliyekuwa anamshughulikia atoke bahati tu imemuangukia
ukienda makaburini usiku ukachimba maiti bado mbichi imezikwa jana haupati, msiangalie upande wa kuua tu hata wewe ukienda makaburini kwa waliozikwa jana, juzi unavupata
Asee..Hakuna cha ndumba wala nn huyu dogo napajua hadi kwao kijijini kwetu Mwamitumai nimemaliza f4 2012 nikamuacha f1 kwao hawana kitu kwanza Baba yake alifariki kwa pressure baada ya dogo kukamatwa na hakuna hata mmoja aliyekuwa anamshughulikia atoke bahati tu imemuangukia
Kwani mimi ndo nimesema ni viungo vya binadamu au mtoa mada?!!!Toa Ushahidi kuwa fuvu ni la binadamu? Thibitisha!
Toa Ushahidi kiungo cha sehemu ya siri ni cha mwanamke,Thibitisha!
Kuna kesi ukiziangalia ni rahisi ila ukipewa uiendeshe Hata kama wewe ni hakimu Utafuta kesi au kumuachia Huru mshtakiwa.
Sivyo..Mtu anaweza kataa tu akasema yeye hajui kama fuvu ni la binadamu.
Kesi kama hiyo mtu anaikataa tu,kazi inabaki kwenu mnaoshkia bango kumuaminisha HAKIMU kuwa mwamba ana HATIA,otherwise hakimu anamtema!
Duuh🙄 Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba.. Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!! Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Sasa vingekuwepo mahakama ingesema mpaka ushahidi uje?Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Sasa umenishtaki, huleti ushahidi mahakamani unatarajia niniDuuh[emoji849]
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
Mfano tumekamatwa mwizi, tumempeleka polisi then kesi ikaenda mahakamani, sasa tunaambiwa tukatoe ushahidi tunakula Kona, Kuna ile tabia tunasema sitaki kua shahidi hapo unatarajia hakimu afanye niniApo ndipo wananchi wanajichukulia sheria mkononi
Acheni kulalamika mambo ya kisheria Yana taratibu zake vipi kama huyo mtuhumiwa alibambikizwa?Babu ni Tanzania tuu.
Utaambiwa, Ushahidi haujitoshelezi.
Kama J4 alipiga watu Risasi na baadae ameachiwa.
Sembuse Hilo ??
Tanzania hamna kinachoshindikana, tena Kwa aina ya utawala kama huu
Lakini upande wa pili nahisi kuna sheria inayo kataza kuzitendea mambo ya ovyo maiti.watu wengi wanaangalia jamaa lbda aliua mtu kumbe alivitoa tu makaburini kwenye makaburi ya wafu
Na kama umebambikizwa hiyo kesi ya mauaji?Yani Kati ya kesi ambazo huwa sipendi watuhumiwa waachiwe huru bas ni za mauaji.... hawa watu hawastahili kuish na binadamu.