DCI na DPP ndiyo wagawane hiyo M5!? Mbona hiyo pesa ni ndogo sana, watu wanafanya plea bargain ya over Biliones kwa DPP na bado wengine anawapiga chini na pesa zao!!
ivi ivi vyeo ni uvujifu wa pesa ivi mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka(DPP) nani anahusika na kushtaki makosa ya jinai au anaemiliki mafaili ya makosa ya jinai nani
Duuh🙄
Hapo ni either kazi ya mpunga au ndumba..
Anaachiwa huru kivipi kama vielelezo ambavyo ni viungo vya binadamu vipo?!!!
Wana hakika hatoenda kuvuna vingine?!
ivi ivi vyeo ni uvujifu wa pesa ivi mkurugenzi wa makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka(DPP) nani anahusika na kushtaki makosa ya jinai au anaemiliki mafaili ya makosa ya jinai nani