TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

hivi wewe umechukua tahadhari gani?? wewe kama wewe na unataka serikali ndio ikuchukulie tahadhari sio. See your life.
 
Mimi tangawizi imeniokoa sana yaani nilikuwa nakiona kifo miguuni.......sasa hivi natafuna tangawizi kama karanga.......yaani kila saa najitafuna kama mbuzi....vile.....
Pole mkuu
Zina saidia sana me mwenyewe nina piga chai tangawizi bila sukari
 
Chopper is still in Tanga..ova wait... ova ova..
Roja dhati...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee jamaa daah Chopper ipo tanga bado

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016.

Pia soma

- Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile


Ujumbe huu umfikie jiwe na genge lake kokote waliko:

IMG_20210220_143229_708.jpg
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
Hata wazee ni wakubwa walio na nyadhifa tu ambao vifo vyao haviwezi kufichika lakini ukweli ni wazee na vijana mitaani wanakufa kwa Corona na kuzikwa kimyakimya kila siku. Anayefahamika kufariki kwa Corona ni Maalim Seiff tu maana alitangaza mwenyewe kuwa amegundulika ana Coronavirus aliporudi tu toka Chato na kulaumiwa sana na viongozi wa Serikali na CCM, wakubwa wengine wote wanakufa kwa kugongwa na Daladala au kwa Changamoto za kupumua au kwa Pneumonia hata kwa mafua. Tuendelee kumwomba mungu wetu maana hata Waisraeli wateule wanakufa kwa Covid-19!
 
Back
Top Bottom