Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Apumzike salama huko aliko.nakumbuka alifuta michezo mashuleni huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimesikia mungai anatokea Kenya?Sasa hapo wakubwa sijui wataenda msiba gani? Tabora au Iringa?
hahha ilikuwa balaa!!! nakutafta huko, mambo yananpoteza 🙂Yani nikikumbuka hasa definition yake loh hafu hebu nitafte kule umeadimika sana
Ukipata muda rekebisha ilo jinaR.I.P Mzee Mingai...
Sawa nitaftehahha ilikuwa balaa!!! nakutafta huko, mambo yananpoteza 🙂
Kwani huyu si MkenyaSasa hapo wakubwa sijui wataenda msiba gani? Tabora au Iringa?
Mungu akulaze pema peponi. R.I.P. Mhesh Joseph Mungai. Mufindi na Kitaifa ulitutendea mengi.View attachment 431075
Joseph Mungai enzi za uhai wake
Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi amefariki dunia.!
Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943
huyo makweta alikuwa waziri wa elimu pia sikumbuki ni utawala gani sijui MwinyiNinakumbuka hawa wazee kwenye moja ya mabaraza ya uwaziri awamu ya kwanza
wizara ya afya - Aaron Chiduo
" fedha- Amir Jamal
" elimu- Mama Thabita Siwale
" kilimo- Jackson Makweta