TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

mmh mi mbona nilikuwepo Uwanja wa Taifa wakati Nyerere anaapishwa kuwa Rais wa Tanganyika..!!!!!!!

Kama ulikuwepo wakati tunapata uhuru waziri wa kwanza wa slimy alikuwa nani? Kilimo je?
 
Hicho kitu kibaya alichokula amelishwa na nani , na kwanini ?
 
Mwezi wa marehemu? Hapo nimetoka kapa mkuu sijakuelewa
Kwa wakatoliki, mwezi November ni mwezi wa kuziombea roho zote zilizotangulia mbele ya haki, unaanza na marehemu walio kwnye familia yako ndugu na marafiki.
 
Kwa wakatoliki, mwezi November ni mwezi wa kuziombea roho zote zilizotangulia mbele ya haki, unaanza na marehemu walio kwnye familia yako ndugu na marafiki.

Hakuna andiko hata 1 linaloruhusu kuombea wafu kwahiyo huo niukengeufu wafu hawaombewi milele
 
Mhhh huu mwaka wa shetani mpaka tufike December sijui
Ila ile dua iliyopigwa wakati wa kufunga kampeni jangwani sijapata kuiona tangu nizaliwe

Ni mawazo sitaki maswali
 
Screenshot_2016-11-09-00-39-50.png

Muhimbili National Hospital wako walipokea akiwa ameshariki na kupelekwa mwili mochuari then wakifanya postmoterm ndiyo watajua cause of death Msemaji wa Hospitali Aminiel Eligaesha ulisema.
 
Kwa wakatoliki, mwezi November ni mwezi wa kuziombea roho zote zilizotangulia mbele ya haki, unaanza na marehemu walio kwnye familia yako ndugu na marafiki.
aise kweli dunia ina mambo duuu
 
Back
Top Bottom