Khabari wakuu, natumaini wote ni wazima wa afya.
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua sababu gani zilizomfanya mbunge aliyemaliza muda wake katika chama Cha demokrasia na maendeleo- chadema KUBENEA kukihama chama hicho siku ya leo tarehe 18, Julai 2020 na kujiunga na chama Cha ACT-wazalendo.
Maoni yenu wakuu.
Wakianza taja wazinzi mzee wa we could fly to Ngorongoro hawezi kukosaMzinzi mwenzio
Hahah Kwamba waliomteua Slaa wenyewe wana belong wapi?Chooni au SebuleniAlisema kaacana na siasa ndiyo maana hujamsikia akigombea. Yes kwa kiasi flani alikuwa sawa maana choo baada ya kutapakaza harufu kikarudi chooni na kuflashiwa
Vipi Yule mzinzi anayemtafuna DC, KisaraweWakianza taja wazinzi mzee wa we could fly to Ngorongoro hawezi kukosa
Yes, na ndiyo maana nawashangaa wapinzani kuwa wanapokea vilivyotoka huko bila kuchukua muda wanawapa nafasi kubwa na kuacha watu waliopiania chama.Hahah Kwamba waliomteua Slaa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni
Itakuwa vizuri ukimtafuta maana mimi siyo mmiliki wa danguro. Kuteua mahawara kushika ubunge wa viti maalum nadhani mara hii wamejifunza maana mwisho wa siku wamechukua kiinua mgongo wakarudi CCM.Vipi Yule mzinzi anayemtafuna DC,kisarawe
Hahah nimeuliza swali rahisi tu boss,waliomteua Slaa kwny Cheo alichonancho sasa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni?Yes, na ndiyo maana nawashangaa wapinzani kuwa wanapokea vilivyotoka huko bila kuchukua muda wanawapa nafasi kubwa na kuacha watu waliopiania chama. At least Lazaro hakufukuzwa aliondoka mwenyewe, na hakugombea nafasi kwa kipindi kirefu siyo kama hao wengine ambao wanakatwa ndiyo wanakimbilia upinzani. Huwezi sema watu kama hao wana mapenzi mema na chama ni kwamba wanatafuta maslahi na wakibanwa speed wanarudi walikotoka.
Chooni tu ndiyo maana toka awali nimesema niligundua vyama vyote ni sawa tofauti yake CCM ni chama tawala vilivyobaki ni vyama pinzaniHahah nimeuliza swali rahisi tu boss,waliomteua Slaa kwny Cheo alichonancho sasa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni?
No doubt on that, wanasiasa ni Crooks & Hooligans.CHooni tu ndiyo maana toka awali nimesema niligundua vyama vyote ni sawa tofauti yake CCM ni chama tawala vilivyobaki ni vyama pinzani
Huwa nashangaa vikaragosi kadhaa humu vinapojipinda kuwatetea viongozi wa chadema, halafu wakigeukwa, wanaanza kulia liaNakumbuka jamaa alivyokuwa anamshambulia Zitto kuhusu ukaribu wake na Jack Zoka. Tuhuma juu ya Zitto kuwa msaliti nk.
Leo wako pamoja.
Ukiwa msaliti na ukajulikana ni mara chache sana kuishii kwa amani, nchi nyingine unapotezwa kabisa.Naamini Kubenea ana kitu kinamsumbua japo hajawa muwazi, maana nikijaribu kutafakari amekuwa akihusishwa na tuhuma za usaliti na hata kuhama chama mara kadhaa na kuna siku aliitisha press conference ikihusishwa na kutangaza kuhama chama japo alibadili gia angani.
Ila imekuwa tofauti na matarajio ya kuhama kwake maana alitarajiwa kuhamia CCM kuunga juhudi ama NCCR-Mageuzi baada ya kugain momentum lakini ameshangaza kuhamia ACT-Wazalendo.
Ameonekana mara kadhaa kupoteza imani ndani ya Chadema na kuonekana hana raha wala amani huko ndani. Nadhani Kubenea ana kitu ambacho hakiko sawa ila amekuwa akijistahi sana kuelezea umma.
Kuhusu the so-called "wakubwa" kuigopa CDM sijui na wala sijui wanapopatikana.Lakini mbona wakubwa wenzio huko bado wanaiogopa mno CHADEMA na hasa mahitaji ya uwepo wa TUME HURU?
Basi enenda ukawapatie hizo 'taarifa njema' za kutia moyo, ili waweze kupata japo lepe la usingizi.
Mkuu acha tu!Enzi hizo hakuna siku mwanahalisi lilitoka bila ya kumchana Zitto. Leo kaenda kwa Zitto
Kumwagiwa tindikali ilikuwa kabla ya kujiunga chademaNi muda wa kujiuliza kwanini mliyajua na kwanini yanakuja maana Kubenea kafanya mengi kupitia gazeti lake hadi kumwagiwa tindikali
Alimwagiwa tindikali kwakuandika habari nyingi za ndani zinazohusu serikali na ilikuwa wazi alikuwa anaunga mkono harakati za chadema. Siyo lazima uwe mbunge ili kuwa mwanachama wa chama flaniKumwKumwagiwa tindi ilikuwa kabla ya kujiunga chadema
Membe ikulu yake mwaka huuKaamini Membe ataingia Ikulu kitu ambacho sio sahihi
Yani nyinyi mtu akihama bila kumtukana Mbowe hamridhiki..Naamini Kubenea ana kitu kinamsumbua japo hajawa muwazi, maana nikijaribu kutafakari amekuwa akihusishwa na tuhuma za usaliti na hata kuhama chama mara kadhaa na kuna siku aliitisha press conference ikihusishwa na kutangaza kuhama chama japo alibadili gia angani.
Ila imekuwa tofauti na matarajio ya kuhama kwake maana alitarajiwa kuhamia CCM kuunga juhudi ama NCCR-Mageuzi baada ya kugain momentum lakini ameshangaza kuhamia ACT-Wazalendo.
Ameonekana mara kadhaa kupoteza imani ndani ya Chadema na kuonekana hana raha wala amani huko ndani. Nadhani Kubenea ana kitu ambacho hakiko sawa ila amekuwa akijistahi sana kuelezea umma.