Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.

Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea kupambana.

SWALI: Uliwahi kukosa amani katika ndoa yako?
JIBU: Somehow

Umewahi kupitia vipigo katika ndoa yako?
JIBU: Kawaida

Unajutia kuoana na Manara
JIBU: 50-50

Umepewa talaka ngapi na Manara?
JIBU: Moja

Hiyo ina maanisha anaweza kurejea kwako?
JIBU: No, kwa sababu hata kuachana kwetu hatukuachana kisheria, ningefuata sheria inamaanisha ningekuwa kwenye eda.

Kwa nini haujadai talaka zote ili uwe huru?
JIBU: Sihitaji hata hiyo ndoa kwa sasa

Una uhusiano na mtu kwa sasa?
JIBU: 50-50

Ni kweli kuwa ulifuata hela kwa Haji Manara?
JIBU: Kwani Haji ana hela? Hana pesa, ana pesa ya kawaida

Haji alikupa kazi kama msaidizi wake, unaendelea na hiyo kazi?
JIBU: HAPANA

Siku ya birthday yake alikupost kisha akafuta, ilikukwaza?

JIBU: Huwa sikwazikagi na mambo ya kijinga

Kuna mtu au watu wamejaribu kuwapatanisha?
JIBU: Nikiamua kitu change siwezi kushauriwa, nikisema nimechoka basi ujue nimechoka

Ukaribu wako na Harmonie upoje?
JIBU: Ni rafiki tu, nina marafiki wengi maarufu, ninawapost pale ninapojisikia

Watu wanasema wewe haujatulia na wewe ndio una matatizo na haukuwa unamsikiliza mume?
JIBU: Siyo kweli, yanayozungumzwa kuhusu mimi ni stori za kutungwa, sitetereki kujibu kwa kuwa habari zote ni za uwongo. Suala la kutulia kila mtu ana muono wake, huwezi kumridhisha kila mtu.

Ni kweli ulimnyima Haji perfume?
JIBU: Kwanza hilo jambo hata ukilisikia unaona halina maana

Ni kweli utarudi Shinyanga?
JIBU: Nitarudi (anacheka)
Ujinga tu
 
Kemeboss na st. Francis wenye one za 7 kibao nako hamna?[emoji848]
A zipo sawa ila ni kwa baadhi tu ya shule sijui walikuwa wanasomaje mfano shule hizi(kemebos,ilboru,st francis,kibaha,tabora boys,mzumbe) hapo hamna ukame wa A wala B ila shule zingine unakuta toto lina 1 ya 8 ila phy D math C duuuh yaani wanaakili za kukariri kariri tu

🤔🤐
 
Huwa nasemaga Mara kwa Mara,mwanaume hapaswi kuwa goigoi Kama Haji manara.

Haji anaachwa na mwanamke analialia mitandaoni na kuanguka anguka na kuzimia Kama kuku mwenye kifadulo na anaishia kuwapa kazi ya kumpepea,kisa? Huyu Mwanamke.

Mwanaume unapaswa kuwa ndiyo king of the territory Kisha mwanamke anaingia kwenye ufalme wako. Kwa majibu hayo Ni wazi kabisa hiyo ndoa hata kabla hawajaachana, mwanamke alikuwa anampelekesha Sana Haji.

Men,

Odds is too tough to us,usisubiri mwanamke akuchanie mkeka Kisha unaanza kulialia. Kama mwanamke wako akigundua wewe ni weak man,you are finished !! Hawanaga huruma hawa.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu uko conscious sana ...Salute
 
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.

Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea kupambana.

SWALI: Uliwahi kukosa amani katika ndoa yako?
JIBU: Somehow

Umewahi kupitia vipigo katika ndoa yako?
JIBU: Kawaida

Unajutia kuoana na Manara
JIBU: 50-50

Umepewa talaka ngapi na Manara?
JIBU: Moja

Hiyo ina maanisha anaweza kurejea kwako?
JIBU: No, kwa sababu hata kuachana kwetu hatukuachana kisheria, ningefuata sheria inamaanisha ningekuwa kwenye eda.

Kwa nini haujadai talaka zote ili uwe huru?
JIBU: Sihitaji hata hiyo ndoa kwa sasa

Una uhusiano na mtu kwa sasa?
JIBU: 50-50

Ni kweli kuwa ulifuata hela kwa Haji Manara?
JIBU: Kwani Haji ana hela? Hana pesa, ana pesa ya kawaida

Haji alikupa kazi kama msaidizi wake, unaendelea na hiyo kazi?
JIBU: HAPANA

Siku ya birthday yake alikupost kisha akafuta, ilikukwaza?

JIBU: Huwa sikwazikagi na mambo ya kijinga

Kuna mtu au watu wamejaribu kuwapatanisha?
JIBU: Nikiamua kitu change siwezi kushauriwa, nikisema nimechoka basi ujue nimechoka

Ukaribu wako na Harmonie upoje?
JIBU: Ni rafiki tu, nina marafiki wengi maarufu, ninawapost pale ninapojisikia

Watu wanasema wewe haujatulia na wewe ndio una matatizo na haukuwa unamsikiliza mume?
JIBU: Siyo kweli, yanayozungumzwa kuhusu mimi ni stori za kutungwa, sitetereki kujibu kwa kuwa habari zote ni za uwongo. Suala la kutulia kila mtu ana muono wake, huwezi kumridhisha kila mtu.

Ni kweli ulimnyima Haji perfume?
JIBU: Kwanza hilo jambo hata ukilisikia unaona halina maana

Ni kweli utarudi Shinyanga?
JIBU: Nitarudi (anacheka)
Bet what you can afford to loose
 
hiyo kesi ya ndoa mahakamani ina uzito gani kwenye issues za ubalozi wa kitu fulani?

Ingekuwa amepigana hadharani au kutukana matusi hapo ndiyo ingekuwa issue.
Dr Shika alikua na kesi gani ya ndoa Mahakamani? Hebu soma tena comment yangu na uielewe.
 
Mwacheni Dada wa watu aishi maisha yake alochagua!

Hatuwezi kujua undani zaidi.

Mnataka hadi yamfike Ndiyo atoke ?! Ni bora atoke akiwa salama!
 
Dr Shika alikua na kesi gani ya ndoa Mahakamani? Hebu soma tena comment yangu na uielewe.
Kwani umezungumzia Dr Shika au mke wa Manara? Maana mimi sijazungumzia issue ya Dr Shika hebu angalia hiyo comment yako mwenyewe kwa mara ya pili.
 
Kwani umezungumzia Dr Shika au mke wa Manara? Maana mimi sijazungumzia issue ya Dr Shika hebu angalia hiyo comment yako mwenyewe kwa mara ya pili.
Una matatizo wewe,siku nyingine uache kukurupuka hovyo kama chafya,nakwambia kasome comment yangu ili uone ulichoniquote ni tofauti na nilichokisema kisha unaniambia tena mm nikasome comment yangu! Una umri gani? Isije ikawa naelekeza kitoto cha Darasa la pili.
 
Hiiiui thread mchangiaji mkubwa ni mmm hivyo dogo funga thread chukua ushauri wangu
 
Malaya will be Malaya

Ukiona mwanamke anakimbilia ooh mwanamke lazima atunzwe mara apate mwanaume mwenye hela ujue huyo malaya na omba omba tu hana jipya, yeyote mwenye hela anaweza kujipigia anytime
 
Malaya will be Malaya

Ukiona mwanamke anakimbilia ooh mwanamke lazima atunzwe mara apate mwanaume mwenye hela ujue huyo malaya na omba omba tu hana jipya, yeyote mwenye hela anaweza kujipigia anytime
Facts
 
Back
Top Bottom