Sahii kabisa[emoji4]Sema mawahara wanajitumaga sana hapo tu! Au Nasema uongo DeepPond ????
Mbona mimi nimejifunza kuwa mwema hutaki kunisikilizaMmmmh kashajifunza huyo
Anatuenjoy TU Mtoa mada,Utamrudia huyo naona dalili zoote
Anamjua mwizi wake ..ngoja uambiww wew ndie ulokuwa unammega
Ha ha ha...hii iko pande zote, hata kwa "Ke" ukiachana na mume aliyekuwa anakunyanyasa halafu mambo yake yasiende alivyokuwa anategemea tunafurahia.
Ha ha ha....Aiseeehhh jemedari fanya kunikutanisha nae anipe training nahitaji kumchanganya na kummaliza Kabisa mtu fulani asee![emoji12][emoji854]
Hasira za nini mkuu kwenye ndoa za watu Aisee?[emoji848]Kama sijakosea uzi wako wa kulalamika ulikua tarere 21 spet 2021 Nimejawa na Hasira moyoni
Kabisa fanya hivo best yangu! Na mwanaume mwenzio afaudu aseehHa ha ha....
Usiwaze kabisa khs ilo, kesho&keshokutwa ni weekend (Nafunga mapema) kila kitu kitaenda sawa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizur kula na nduguyo, wanaume sote ni ndugu.Kabisa fanya hivo best yangu! Na mwanaume mwenzio afaudu aseeh
NONSENSE.Msamehe,mlee watoto pamoja,
Msamehe amekiri kosa hivyo hatorudia tena,msamehe.
Umeona eehhh! Ndoivo!!Kizur kula na nduguyo, wanaume sote ni ndugu.
Huu utamu Ni vema na brother nae akafaidi mema ya dunia, MAISHA YENYEWE MAFUPI AYA[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo ubinadamu ila ukifaniwa atachukia vile vileHa ha ha...
Yaan mtu anafurahia Sana kuona umechoka maisha yamekupiga[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiirudie hiyo kitu ishapigwa sana,Nilimkanya mwisho wake kabla ya mwanzo akanidharau
kama huyu Kunguru wa Manzese. hafugiki. unaaminije huko fb hayupo?Alikua anamegwa na fala flani wa Fb si JF so usimtishe jamaa
Kama naweza kuendesha maisha yangu mwenyewe sitakagi kabisa purukushani.....
Siku ukimrudia najua hutaongea haya, naona unavuoelezea soon unarudi naona daliliMabibi na mabwana,
Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu?
Ila za chini chini nasikia jamaa kambwaga baada yakuona mtelezo hamna tena (walitegemea vi sumli vyangu kundesha mapenzi yao)
Ofisi niliyomfungulia ikampa jeuri kupata pesa za kuhonga sasa kapigwa notice ya either ahame au alipekodi mara mbili aiseeh Mungu yuko fast a saana. Sasa hajui ataishije mjini hapa.
Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.
Chaajabu alishaanza na process za kudai talaka sa sijui ni msaidiaje? Kwake naona kinyaaaaa, na nipo natafuta na kuchovya chovya mabitch wengine nipate wakuishi nae tusogeze siku maana hawaeleweki hawa.
Note: Madada wa humu JF msicheze na ndoa Mungu analipa fasta siku hizi kama hujui maana ya ndoa usiing'ang'anie na kusumbua mwanaume utabeba laana na mikosi bure.
Kwani alivyoondoka watoto walilelewa na nani?!Msamehe,mlee watoto pamoja,
Msamehe amekiri kosa hivyo hatorudia tena,msamehe.
Kwani aliwazaa nani??Kwani alivyoondoka watoto walilelewa na nani?!