TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Jipu Lilikuwa kubwa Mno.Sasa lilipasuliwa bila kufuata utaalam wa kimatibabu.Hata sindano ya ganzi kulikuwa hakuna.
 
haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P

majumba warithi watafanya guest house ili watu wafanyiee zinaa na viwanja watahonga tu
 
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.

Baba sheria ipi bambayo haifatwi au ipi imevunjwa

Nb
Kama hujui mambo ya sheria ni vyema usiyaseme yahusuyo sheria
 
Huyu jamaa alikuwa mgonjwa hata kabla ya kutumbuliwa. Yamkini kutumbuliwa kumechangia kifo, lakini kutotumbuliwa pia sio protective kwenye kifo.
 
Mali na fedha zote tutazihacha.
Binadamu tupo busy kutafuta pesa na mali na kumsahau Muumba wetu.
Mwisho tunazihacha.

Ni funzo kwetu tunaopumua.
 
 
ALIKUWA MZARENDO,MWADILIFU NA MCHAPAKAZI.RIP!
 

Wewe ndiye unalazimisha alikuwa mzima. Mimi ninajua alikuwa kaomba likizo ya ugonjwa!. Hadi watu wakasema, wanamsimamishaje mtu aliyeomba kujistafia kwa maradhi?

Kama kutajwa kungelikuwa ni kifo, bila shaka Lowasa tusingekuwa naye leo. Lakini pia tungeungana tulitaja adui kubwa la nchi hii kwa jina life ili tanzania ipone.

Acha kuwa na mawazo mafupi. Kabwe was sick and he was sick kweli. Ni mganga wa kienyeji tu ndiye atasema hakuwa anaumwa ati kafa kwa kutajwa!. Ridiculous!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…