Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.
Una uhakika alikula?
Taarifa zaweza kuwa kweli. Lkni vp hawa wezi wanapokuwa wakiondoka kwenda hatujui tunajua wakisha rejea. mara nyingi utasikia amerejea kutoka India alipokuwa kwenye matibabu!!! Kama kafa kweli. Nisomo kuwa hata tukikimbia kwenda India nakwengineko Umauti utatukuta popote kwa saa dakika na sekunde husika. Muumba habadilishi ahadi na ajali ya mtun
Daah... kaondoka na hela yetu...!!! RIP...
Alikuwa anaumwa nini hadi akaenda India?Source mkuu wangu? Maana alivyo tumbuliwa alikuwa ana siku chache toka atoke kwenye matibabu inch India
Mkuu, habar za kifo ni habar nzur?kwa nini mbaya mkuu
amen...Bado liko tumaini! La ufufuo na uzima wa milele kwa waliolala katika kristo. Mungu awape amani, faraja na tumaini ndugu wote wa marehemu.
Alikuwa anaumwa nini?India alikuwa keshatoka tangu mwezi Dec 2015 na alikuwepo hapa Dar akiendelea na matibabu yk
Acheni double standard jamani, yeye kutumia madaraka yake vibaya nako ni kudhalilisha watanzania walio wengi hadharani tena bila kuzingatia sheria. Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu kwanza.Anayetakiwa kuzingatia masuala ya kisaikolojia na utu wa binadamu ni MTUMBUAJI na siyo MTUMBULIWA. Tukiendelea na style hii ya kudhalilisha viongozi hadharani bila kuzingatia sheria na kanuni za uongozi bora tutapoteza wengi.
hahha hamna kiongozha ha ila we jamaa na wasiwasi wewe ndio le mutu.. unajipaisha kwa namna hiyo