TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Uwiiiiiiii jamani huu utumbuaji majipu wa hadharani kudhalilishana namna ile sio kabisa.
Anyways....
R.I.P Mzee Kabwe.
 
Makonda kamuua huyu jamaa hiv hiv

Ukiwa na nafasi na cheo kama alichokuwa nacho marehemu mzee Kabwe RIP unasahau kwamba kuna vijana kama Makonda ambao wanaweza kukuchukulia hatua ambazo ni "extra ordinary".

Ila Mheshimiwa Makonda ni jasiri sana na akiliweza jiji la Dar basi atafaa kupanda cheo cha juu zaidi huko mbele.
 
Presha ya kutumbuliwa hiyo. Ngoja tuone atakavyosifiwa. Utasikia "MAREHEMU ALIKUWA MCHAPA KAZI MWAMINIFU KWA UMMA NK".....R.I.P
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
umewaza mbali sana mkuru!
 
"Rais hajatumia busara kutangaza kumsimamisha kazi Kabwe kwenye halaiki ya watu, tena nimesikia anaumwa, vipi akimsababishia mauti?"
(Maneno ya Bi Hellen Kijo-Bisimba)

Huyu maza naye ni Jipu tu

Rais wangu songa mbele, Marehemu katangulia Kwa natural dealth. Wasilete mapambio hapa
 
kutumbuliwa=stress+sukari=kifo..RIP hyo ndyo tznia mpya
 
Mungu aipumzishe roho yake kwa Amani na awafariji wafiwa wote kwa msiba huu mzito. AMINA
Mungu awafariji ninyi mliofurahia huzuni yake......

Unaomba Mungu aipumzishe roho ya mwizi? Waafrika MNA unafiki mpaka kwenye vidole!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom