TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Huyu ndie aliyeiendesha Dar kwa hali iliyokuwa eenh? Hakika Hakuwa Kiongozi Bora... Asamehewe tu... Zama Za Ukweli na Uwazi
 
"Rais hajatumia busara kutangaza kumsimamisha kazi Kabwe kwenye halaiki ya watu, tena nimesikia anaumwa, vipi akimsababishia mauti?"
(Maneno ya Bi Hellen Kijo-Bisimba)
Malipo ya fanana na pressure za luchelele kama sio Uchaguzi.
 
Upumzike kwa Amani Mzee Kabwe, Mola akufanyie wepesi wa Mapungufu yako....Sisi wote binaadam, kwake tumetoka na kwake ni Lazima tutarejea!

Kama ilivyo wazi kwamba mtoto hajui atazaliwa lini na wapi na nani, ndivyo ilivyo pia binaadam huyo huyo hajui siku wala saa ya yeye kuondoka na namna gani ataondoka. Kikubwa hapa ni sisi "wengine" tuliobaki ambao ni binaadam "kama" tu Mzee Kabwe, tujitathmini tena, tuanze kujikumbusha ya kwamba duniani sote tunapita, hakuna atakae baki milele, hata vizazi vyetu baada ya kuondoka kwetu vitategemea zaidi "what we did for them to survive & how we did it" ili navyo "viondoke mwondoko mwema"!

Siku ikifika hakuna wa kuzuia wala kuichelewesha, wakati mwingine haihitaji hata "sababu" ya kufika ila kwa vile Imefika, basi ndio ishafika, no way out but through Death! Tuache ku speculate if we ain't sure....kikubwa tumuombee Dua kwa Muumba huko aendako "akapumzike"!!

**Poleni sana familia, Ndugu na jamaa na marafiki!!
 
Sio kweli kuwa marehemu aliugua kutokana na shock... Kwa Maelezo yake mwenyewe ni kuwa tangu mwaka jana afya yake haiko sawa na alishaandika barua ya kuomba kustaafu kwa sababu za kiafya.
Tuondoe upotoshaji...
 
Malipo ya fanana na pressure za luchelele kama sio Uchaguzi.

Walichotufanyia luchelele kinaudhi sana.
Ninaeneo mita 40x104 lakini hata kiwanja.

wamepima 2010, wakaweka xuio kujenga.

Ok labda niseme tena hat fidia hatujawahi lipwa maana hata thaminisho bado
 
Ikute Makonda ndo atakuwa frontline kwenye kuaga mara ya mwisho,dah si mchezo.Ila jamani kutumbuliwa hadharani inatakiwa baadae uwaone washauri wa kisaikolojia aisee other wise waweza ondoka kabla ya siku zako
Makonda akae nyumbani tu atulie..Msibani wanaweza kumpopoa na mawe
 
Siku ikifika hakuna wa kuzuia wala kuichelewesha, wakati mwingine haihitaji hata "sababu" ya kufika ila kwa vile Imefika, basi ndio ishafika, no way out but through Death! Tuache ku speculate if we ain't sure....kikubwa tumuombee Dua kwa Muumba huko aendako "akapumzike"!!

RIP. Ila I can't wait kuona barua ya 'masikitiko/rambirambi' kutoka kwa mtumbuaji in chief.
 
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.
Yaani unatumia hoja mfu kuhararisha wizi wa mali za umma? kwahiyo watu wasipishe uchunguzi kisa watakufa? we lofa sana,nakama ni ndugu yako jua imekula kwako,wanaomwelewa TL Ni wale malofa kama wewe wasio na huruma na %70 ya watanzania masikini,
 
Walichotufanyia luchelele kinaudhi sana.
Ninaeneo mita 40x104 lakini hata kiwanja.

wamepima 2010, wakaweka xuio kujenga.

Ok labda niseme tena hat fidia hatujawahi lipwa maana hata thaminisho bado
Pole Sana ndugu. Mzee huyu kwa jeuri na dharau inatosha.
Ni somo takatifu kwa wenye kujifunza kutenda haki . MUNGU anasema na jamii ya luchelele sasa pumuzikeni
 
RIP,
Bwana mkoa sijui atahudhuria msibani na kumshika mjane mkono?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom