TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.

Ninasikia alikuwa expert wa kucheza na kalamu. R.I.P kila nafsi itaonja mauti.
 
Poleni wote mlioguswa kwa namna moja au nyingine.. Mungu amuweke panapostahili.
 
Unafki mbaya Sana.Malaika wa mwenge watahudhuria nakumwabia mjane"Kabwe was good man".
 
wamemtanguliza wabia(ccm) wenzie asijechafua hali ya hewa,ccm no hence hatari
 
Poleni sana familia ya Wilson Kabwe watoto na wajukuu kazi ya Mungu haina makosa.... Ktk vyote ulivyofanya urithi wa Elimu uliowachia wanao ndo nguzo kwao
 
Hichi kifo Makonda na Magu wamechangia kwa asilimia kubwa.
Ni vizuri kuandika vitu unavyovijua. Mzee watu amekuwa mgonjwa for a long time, alihitaji kustaafu kwa sababu ya maradhi kwa muda mrefu, ila hawakumstaafisha.
 
RIP. My former bocy



 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…