Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa patamu kama peremendeRC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
RC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
Vp mkuu ile ahadi yako ya kutembea uchi siku tatu kama Kitwanga atatumbuliwa unaitekeleza lini?RC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
mkuu ilikuwa kama atatimuliwa na ishu ya Lugumi.umejionea mwenyewe ilivyokuwa mbinde mpaka wamefanya maigizo kivingine.Vp mkuu ile ahadi yako ya kutembea uchi siku tatu kama Kitwanga atatumbuliwa unaitekeleza lini?
OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Membermkuu ilikuwa kama atatimuliwa na ishu ya Lugumi.umejionea mwenyewe ilivyokuwa mbinde mpaka wamefanya maigizo kivingine.
haah haah mkuu inakuwa by implicationOKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member
#118
Apr 10, 2016
Joined:Aug 24, 2011
Messages:15,479
Likes Received:1,553
Trophy Points:113
Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
HAHAHAHAAHAHH MKUU ILA HUKUAINISHA KWENYE HII POST YAKO
Wakati wakijigaia mafungu huwa wanafuata sheria na taratibu za utumishi !?Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.
.........umeona eeh ! sijui documents amezisunda wapi !?Daah... kaondoka na hela yetu...!!! RIP...
wewe utaenda !??Nauliza tu, hivi Makonda ataenda kwenye mazishi ya huyo Mzee?