TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
RC Makonda sisi tumefiwa, tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bw.Kabwe(RIP).

Huyu unamjua vizuri, Na wewe ulikuwa bosi wake, ninakumbusha usisahau kuja msibani.

Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
 
Amepunzika! Dunia gunia, tunaipenda sana na mambo yake, lakini ina safari yenye changamoto![emoji120]
 
RC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
Hapa patamu kama peremende
 
Raho za marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani amina. Huenda jipu lilikuwa sehemu mbaya na doctor hakugundua.
 
Mwewe anapopitia kifaranga, vilivyobaki hukimbilia mafichoni na kujiona vyenye bahati ya mtende ila mwisho wa siku huchinjwa kwa kisu na kunyonyolewa kwa maji ya moto.
 
RC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"

Kuwa chadema sasa nimeamini ni kipimo cha IQ, hakuna mtu mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kwenda chadema, unawezaje kuleta mzaa kwenye kifo cha mtu?
 
RC Makonda sisi tumefiwa,tumefiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Bwn.Kabwe(RIP).Huyu unamjua vizuri.Na wewe ulikuwa bosi wake,ninakumbusha usisahau kuja msibani.Kama bosi mkubwa hapa Dar najua utapewa kipaza "uchane"!Sasa kama utakuja andaa yale maneno yetu Wabongo "Marehemu alikuwa mcheshi na mchapakazi"
Vp mkuu ile ahadi yako ya kutembea uchi siku tatu kama Kitwanga atatumbuliwa unaitekeleza lini?
 
Usimtafutie mkuu wetu balaa akamwagiwa tindikali bure, Alikua anafanya majukumu ya kiserikali.
 
mkuu ilikuwa kama atatimuliwa na ishu ya Lugumi.umejionea mwenyewe ilivyokuwa mbinde mpaka wamefanya maigizo kivingine.
OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member
#118
Apr 10, 2016

Joined:Aug 24, 2011
Messages:15,479
Likes Received:1,553
Trophy Points:113
Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha

HAHAHAHAAHAHH MKUU ILA HUKUAINISHA KWENYE HII POST YAKO
 
haah haah mkuu inakuwa by implication
 
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.
Wakati wakijigaia mafungu huwa wanafuata sheria na taratibu za utumishi !?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom