BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Unajua maana ya maneno Privity to contractNaona mnaingiza third parties kwenye mambo binafsi waliyokubaliana Fei na Yanga SC, tatizo lenu mnakariri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya maneno Privity to contractNaona mnaingiza third parties kwenye mambo binafsi waliyokubaliana Fei na Yanga SC, tatizo lenu mnakariri sana.
Mtu kama ameajiriwa kuwa Mkurugenzi wa Sheria na chombo kikubwa kama TFF hiyo inakupa ujumbe gani kuhusu uelewa wake wa masuala ya sheria? Huyo sio laymanNadhani huyu hajamaliza utata bali katoa mawazo yake kulingana na uelewa wake. Kwani wewe huyu ndo unamuamini sana ktk sheria za mpira kuliko watu wote Tanzania au Duniani waliosomea sheria za mchezo huo. Au kuwa mkurugenzi wa sheria hiyo title ndio inakufanya kuamini kuwa anajua Kila kitu
Umeongea vyema ndo maana Kuna jamaa nimemwambia swala sio kipingele kinakuruhusu huwez vunja mkataba kihuni ndo maana ndege tatu za ATCL zimekamatwa kwa mambo haya haya ya kihuni, swala sio haki kwenye mkataba ufuate taratibu ndo kitu Cha muhimuWe ndio huna akili, kununua kitu lazima muuzaje aridhie vinginevyo na vurugu. Ndio maana ya mkataba(pande mbili kukubaliana) na pia mnaweza kukubaliana kutokukubaliana(hii hutaelewa).
Kajifunze upya
Mtu kutimiza sharti la mkataba wake sio uhuni, ni upeo wenu tu ndio mdogo, mnaongozwa na mahaba.Ila mwamba nilikua nakuonaga una akili Ila unatabia za upiga debe, mkataba hauvunjwi lazima pande mbili zikae zikubaliane sababu Feisal alikua Mali ya Yanga, anahaki ya kuondoka lakin alichofanya ni uhuni
Usitake kudanganya kwanza ni kosa kuweka huu mkataba (kama ni wa kweli) wenye haki hiyo ni pande husika. Unaweza kushitakiwa.Sehem ya mkataba inasema hv, Fei n mchezaj huru wala sio mali ya YangaView attachment 2457681
Lazima yanga washirikishwe ambao yanga na Feisal kwa pamoja waliweka hiko kipingele, sasa kwainin kwenye kuvunja unataka uvunje peke yako acha ushabiki, yaani kipingele tuweke wote kwa pamoja alafu kwenye kuvunja uvunje peke yako hizo ni akili au matopeKuna kipengele kinachombana Fei kwenye mkataba aliosaini na Yanga SC? Kama unacho weka hapa..
Sasa mwanasheria nguli kaongea na bado unabishana nae?Mimi sio mwanasheria ila baada ya kuusoma huo mkataba kwenye picha sijaona Feisal alipokosea..
Umeongea vyema na Ili uvunje mkataba lazima uongee na mwajiri wako mkubaliane, tatizo la watanzania tunapenda sana shortcutUsitake kudanganya kwanza ni kosa kuweka huu mkataba (kama ni wa kweli) wenye haki hiyo ni pande husika. Unaweza kushitakiwa.
Hakuna mchezaji mwenye mkataba hai halafu awe huru. Haipo, ila mchezaji asiyekuwa na club anaposajilia anaitwa mchezaji kwa maana huko atokako. Anapoingia mkataba anakuwa mali ya club husika mpaka itakapomwachia.
Kasome tena
-una nakala ya huo Mkataba uuweke maCPA (T) Tuuchambue vizuri?Kama katika mkataba wake kuna kipengele cha release clause, mchezaji anaruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu itakayolipa kiasi kilichomo kwenye hiyo clause bila kuhusisha klabu yake. Ila hataruhusiwa kuhama mpaka msimu wa uhamaji unapokuja. Klabu iliyo na release clause inatakiwa kuanza mazungumzo na mchezaji ambae wanaona thamani yake imepanda ili kuongeza kiasi kilichomo na wakati huo huo kumuongezea maslahi yake binafsi. Wasipofanya hivyo, ruksa kwa klabu nyingine kuingia MOU na huyo mchezaji mara watakapolipa lile dau. Na hiyo klabu mpya inaweza kumuuza tena kwa bei ya juu zaidi bila ya klabu ya awali kupata chochote.
Aidha, kama kuna buyout clause, mchezaji anaweza kulipa kiasi kilichopo na kuingia mkataba mpya na klabu nyingine msimu unaofuata. Tatizo la buyout clause ni kuwa mara nyingi hizi pesa mchezaji anapewa na klabu inayomtaka na hivyo inaweza kuwaingiza katika matatizo ya kodi ( ametoa wapi hizo pesa?) na hoja kuwa alianza mazungumzo na klabu nyingine kabla ya kuifyatua hiyo clause, kitu ambacho hakiruhusiwi.
Amandla...
Umesoma ukaelewa kweli au umetupia tu humu ndani?Formality yenyewe ndio hiyo , hata kama ipo nyingine haithari chochote as long as cost zimelipwa
Unaweza soma namba 14 kipengele cha kwanza hapo , hata FIFA hawatak jichosha, wewe lipa sepaView attachment 2457693
Sasa wewe si ndiyo ungeileta ili uprove point yako?Kuna nyongeza hapo chini yake na ndo hawamtaki kujiweka Ili kuficha dogo Fei alipoingia mkenge.
Uelewa wako mdogo sana nikusaidie kwa mfano huu.Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?
Nakuhakikishia Hana-una nakala ya huo Mkataba uuweke maCPA (T) Tuuchambue vizuri?
Kasome standard contract terms za FIFA, CAF au TFF uone maana hata hujui unacho argue.Hivyo vipo kwenye mkataba au hisia zako??
Unaniita mimi shabiki wakati kimsingi wewe ndie shabiki, unaposema "lazima Yanga washirikishwe" hapa unasukumwa na mahaba tu, sio logic.Lazima yanga washirikishwe ambao yanga na Feisal kwa pamoja waliweka hiko kipingele, sasa kwainin kwenye kuvunja unataka uvunje peke yako acha ushabiki, yaani kipingele tuweke wote kwa pamoja alafu kwenye kuvunja uvunje peke yako hizo ni akili au matope
Umeongea vizuri, watanzania wanapenda ujanja, mkataba tumeingia wote wawili, mkataba ukivunjwa lazima tukubaliane pande mbili sio pande moja inajiamulia inavyotaka, ndo maana ndege tatu za ATCL zimekamatwa kwa mambo haya haya ya kuvunja mkataba kihuni pasipo kushirikisha pande zote mbiliUelewa wako mdogo sana nikusaidie kwa mfano huu.
Ukimwacha mke pasipo na talaka bado ataendelea kuitwa mkeo au mumeo hadi pande mbili zitakapo kubali kuvunja ndoa hiyo.
Ingekuwa kirahisi hivyo hakuna team duniani ingewanunua wachezaji kwa gaharama kubwa hivyo kwani wachezaji wangelipa cluba ada ya uasajili na mishahara kadhaa. Kisha anaenda timu nyingine.
Kikichofanyika ni uhuni ingawa bado Feisal na Azam wanayo nafasi ya kurekebisha
We ushaona wapi mkataba niingie mim na wewe, alafu kwenye kuuvunja uvunje pekee yako unavyojisikia bila kunishirikisha ulishaonaga wapiUnaniita mimi shabiki wakati kimsingi wewe ndie shabiki, unaposema "lazima Yanga washirikishwe" hapa unasukumwa na mahaba tu, sio logic.
Mtambue, mtu kutimiza sharti lake kimkataba haitaji ruhusa ya upande wa pili, ni uamuzi wake binafsi, kazi inabaki kwako wewe wa upande wa pili kufanya alichofanya mwenzio, ukigoma kama Yanga walivyofanya, Fei ana uwezo wa kwenda TFF kushtaki.
Sijui kwanini mnataka Yanga SC washirikishwe maamuzi binafsi ya Fei, sioni logic yako hapa.
Yamekuwa haya tenaHuna hoja za msingi na kinachowauma ni Yanga kuendelea kuongoza ligi na ndio maana mnatetea ujinga kwa hoja nyepesi.
Ni prove kweni nabishana na mtu hapaSasa wewe si ndiyo ungeileta ili uprove point yako?