TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Mwisho wa mwanadamu.
Mwanadamu kapewa mtihani mzito na Muumba wake
na vitakuwamo ambavyo nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia …” (Kurani 43:71)

“Kuleni na mnywe kwa furaha kwa sababu ya mlivyo tanguliza katika siku zilizo pita!” (Kurani 69:24)

“… Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!” (Kurani 18:31)

HAYA NI MAISHA YA WAISLAM SAFI BAADA YA KUONDOKA KTK HII DUNIA
 

..mabalozi walikuwa wazalendo.

..Mdude Nyagali naye ni mzalendo.

..kila mmoja ana mchango kulingana na eneo lake.

NB:

..binafsi sijaridhishwa na jinsi Salim Salim na Joseph Warioba kushindwa kupaza sauti wakati haki na utawala bora vikienda mrama. Hawa tuliambiwa ndio warithi vijana wa Mwalimu Nyerere. I expected a lot more from them.
 
Kijana afadhali umetoa nyongo!
 
Every generation has its own obligations assigned to it by the prevailing circumstances!
 
Mkuu,
nadhani umemsoma tayari haina haja ya kutumia energy kubwa sana hata mimi ilinishangaza alivyoanza na habari za mdude ila ndipo tulipofikia. Kimsingi nadhani kama ulivyomuuliza akupe hizo standard ili aelezwe nilicho gundua hayupo tayari kuelewa, ni sawa tu na mtu anayekuuliza swali akiwa na majibu yake tayari na hayuko tayari kubadilisha huo mtazamo.
 
Asante kwa kunielewa mkuu.

Nimempeleka ignore list kashapoteza privilege ya kuwasiliana nami moja kwa moja.

Asije kuharibu zaidi uzi wa watu wa msiba hapa.
 
Haya ni madini.
 
Ndio maana kitengo kimekuja kuwa Cha hovyohovyo.... Kwa SABABU ya kamlete...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…