Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Tume maalum iliundwa chini ya Jaji....Yaani mijitu imetenda kosa la mauaji 2006,hukumu ikatoka 2016,miaka 10 baadae!Hii mijitu bado inapumua!
MTU atakae pinga kwamba haya majambazi hayakutena kosa la mauaji,inabidi aperekwe milembe apimwe akili.
Ingekuwa USA,hawa watu hawakutakiwa kushitkiwa na jeshi la polisi,ambalo wao walikuwa miongoni mwake,hapa haki haiwezi kutendeka,upelelezi wa hii kesi ilibidi ufanywe na kikosi maalum kutoka Takukuru.
Namba 3 hakuna cheo kama hichoMrakimu ni superintendent of polisi. Hii ni ngazi ya tano kwa maafisa wa polisi.
1. Assistant inspector of police
2. Inspector of police
3. Senior inspector of police
4. Assistant superintendent of police
5. SUPERINTENDENT OF POLICE
Ni ngazi kubwa. Hua anasimamia wilaya au kituo kama Urafiki. Mabatini. Oysterbay na police post za sehemu sugu kama Kigogo na Kwa aziz ally
Marehemu Cpl.Rashid Lema,alikuwa mkuu wa kituo kidogo cha polisi Mlimani(UDSM)Katika hii kesi kuna dogo mmoja polisi ambae alikufa katika mazingira ya kutatanisha. Alieleza ukweli kabla hajafia gerezani. Dogo mmoja mchagga nasahau jina. Naona nafsi na imani yake ya kidini vilikua vinamsuta
SIP ndio nini? Umejitahidi kujua endelea kujifunza utajua mengi ...Umeacha SIP
Nikurekebishe kidogo ni kwamba baada ya zombe and Co kutekeleza hilo tukio mwanzo kabisa ilijulikana wale wafanya biashara walikuwa majambazi hvyo askar wote waliokuwa zamu hyo siku walirudisha silaha zao salama bila tatzo ila sekeseke likaanza siku tatu au nne baada ya tukio baada ya baadhi ya wananchi Ku rise hoja kwamba wale hawakuwa majambazi Bali wafanyabiashara, na ndipo wakaamuliwa askar wote waliokuwa zamu wakamatwe na kuwekwa mahabusu huku tume ya uchunguzi ya Kipenka ikienderea .. Hapo ndipo yule askar aliyefyatua risas akapata mwanya Wa kutokomea mpaka Leo hiiEti mimi nilifanya kazi ya police aliefyatua risasi hajakamatwa ila waliohusika kufanya mpango mpaka wa mauaji hawana hatia wakati hela na Madini waliondoka nayo hukumu ya kesi ile ilikua haipo sawa kwa wengine kuachiwa ni vile walikua police na hukumu ilikua inawabeba ilitaliwa wachukuliwe kama majambazi tuu asingetoka mtu pale....majambazi yameteka na kuua mambo ya huyu alirudisha risasi sawa wapi na wapi wakati wote walitenda njama ya kuteka,kuua na kuondoka na Mali... hakuna hukumu nyepesi ya vile kwa wengine kuachiwa uraiani...
"Senior inspector" ndio huyo huyo Inspector(afisa mwenye nyota mbili) baada ya hapo cheo kinachofuata ni mrakibu msaidizi(ASP- afisa mwenye nyota tatu)Umeacha SIP
Hiyo ya kunyonga watu wasio na hatia haihusiani..sawa mkuu ila fanya kautafiti kadogo ndani ya nchi yetu,je adhabu hii imepunguza hayo makosa uliyoyaorodhesha hapo juu?na elewa hizi adhabu mara nyingi zinakuja na makosa mengi ya kunyonga watu wasio na hatia
Hivi askari kurudisha silaha jioni ikiwa na idadi ile ile ya risasi alizokabidhiwa asubuhi inaweza kuwa utetezi tosha kwamba askari huyo hakutumia silaha yake kuua? Maana kama askari mwenyewe kama ana tabia ya kushiriki kwenye matukio machafu ya mauaji ili kujinufaisha si kazi ngumu kwake yeye kuwa na risasi zake za pembeni za kufanyia kazi na unapofika muda wa kurudisha silaha ofisini anarudisha na risasi kwa idadi ile ile aliyokabidhiwa.Naomba ni-declare interest kwamba niliwahi kufanya kazi Jeshi la Polisi tena Kikosi hicho hicho cha kupambana na majambazi na mpaka naacha kazi nilikuwa hapo hapo Oysterbay,na askari wote waliokumbwa na kesi ninawafahamu maana nilifanya nao kazi,hukumu ya Jaji Kipenka ya kuwaachia huru watuhumiwa wote ilikuwa sahihi maana askari aliyewafyatulia wale marehemu hakuwahi kukamatwa mpaka leo!! wengine wote walirudisha silaha zao Armory zikiwa na risasi kamili kama walivyochukua isipokuwa huyo mmoja,ndio maana Jaji Kipenka wakati anawaachia huru watuhumiwa alisema kabisa "MLETENI MTUHUMIWA ALIYEUA MAANA YEYE NDIE ALIRUDISHA SILAHA IKIWA HAINA RISASI"kwa hiyo naamini hili Jopo la Majaji wa Mahakamani ya Rufaa nitamuachia huru Christopher Bageni maana hakufyatua risasi hata moja kuua marehemu
Huyu nadhani alifanya kazi ya ziada kuchomoa, ingekuwa utawala huu nadhani angekuwa ananyea ndooZombe naye alitiwa hatiani au ilikuwaje
Ngoja ndugu yako auwawe!ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.
The world is not Fair.Hii adhabu haitekelezwi ili kurudisha waliouawa au kuboresha maisha ya ndugu walioachwa au watakaoachwa, inatekelezwa ili mimi na wewe tuogope kufanya uhalifu wa aina hiyo, kama hakuna adhabu ya kifo, mimi naweza kuja nyumbani kwako, nikakulawiti wewe, mke wako na binti yako, kisha nikawaua kwa kuwachinja mkeo na binti yako, Je, wewe uliyebaki, utajisikia vizuri kuniona mimi niko hai ili mradi tu niko gerezani? Gerezani ni maisha tu kama maisha mengine, kuna watu kule wanakula vizuri tu na kuishi vizuri..
Je, ni haki kwa aliyekatisha maisha ya wengine kikatili, kuendelea kula bata tu huko gerezani?
Tuliza munkari dadaSasa kwanini wasimpeleke??
Bdw Kwanini askari polis mnaua ua watu km njiwa unavyompiga manati??akili zenu wap zina shida nyie watu nyie??
mara mtulipue mibomu..shukuruni mtaa naoishi hakuna askari walah ningelala na m1 mbele...ningemtega akategeka..angekunywa sumu bila kupenda shenzy typ
Hii adhabu haitekelezwi ili kurudisha waliouawa au kuboresha maisha ya ndugu walioachwa au watakaoachwa, inatekelezwa ili mimi na wewe tuogope kufanya uhalifu wa aina hiyo, kama hakuna adhabu ya kifo, mimi naweza kuja nyumbani kwako, nikakulawiti wewe, mke wako na binti yako, kisha nikawaua kwa kuwachinja mkeo na binti yako, Je, wewe uliyebaki, utajisikia vizuri kuniona mimi niko hai ili mradi tu niko gerezani? Gerezani ni maisha tu kama maisha mengine, kuna watu kule wanakula vizuri tu na kuishi vizuri..
Je, ni haki kwa aliyekatisha maisha ya wengine kikatili, kuendelea kula bata tu huko gerezani?
Tuliza munkari dada
Kuna uzi kule uliletwa juu ya wanao kamatwa kwa kwenda Pm ,ukasema mtu wa Jf ukamatwe kwa lipi
Ukisoma katikati ya mistari hii comment yako ni sababu ya wewe kukamatwa
Ndio uzuri tu wa kuwa na ID feki
Ingekuwa vizuri ungemtaja kwa majina huyo mfyatua risasi ili akionekana popote pale akamatwe.kuna wadau kuelewa ni wagumu,aliyerudisha silaha ikiwa haina risasi ndie aliyewafyatulia wale marehemu wote risasi,namaanisha wote waliokuwa Doria walikuwa na silaha,but silaha iliyotumika ni moja tu ya huyo aliyekimbia
ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.