Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono, wapinzani wote waliohamia ccm nina amini wataenda kubadilisha mambo wakiwa ccm.
Kwa sababu wengi walikua na dhamira nzuri ya kubadili mambo wakiwa upinzani. Lakini wameona dhahiri kwamba ccm hawatakua tayari kukubadili matokeo licha ya upinzani kuwa na figisu figisu wenyewe kwa wenyewe.
 
Ambae ashawahi kuona mchungaji akitoa sadaka au akichangia harambee anyoshe mkono. Hakuna watu wanaoenda kupokea pesa kama wachungaji. Msingwa kukosa network ya pesa soon hata familia ilikuwa inaenda kusambaa
 
Chadema Mnisikilize muelewe
Mbowe ni Mamluki yuko Upinzani kujenga ulaji wake na kuwapumbaza. Hataki Watu smart ndani ya hicho chama.
Tangu ameharibu watu kuanzia kwa Chacha Wangwe mpaka leo anaendelea.
Yani kwa Mbowe wanachadema wamezibwa masikio. Wanamuona kama nabii vile, hata akosee namna gani
 
I cannot. Watu kama wewe ni slow learners. Mpaka likukute ndiyo unajifunza.
Umesema elimu yangu ndogo sina exposure na hapo umeongezea slow learner 😊
Nmeachia hapo

Naijua JF nawajua watu wake sina la kusema
 
huyo Alikuw ccm lia lia amerudi nyumban baada ya kazi aliyotumwa kuiumiz chadem kushindwa
 
Umesema elimu yangu ndogo sina exposure na hapo umeongezea slow learner 😊
Nmeachia hapo

Naijua JF nawajua watu wake sina la kusema
Huwajui. Watu wanatumia majina ya bandia hapa na wana ID nyingi utawajuaje?
 
Huo usaliti wa Msigwa mbona hatukuambiwa wakati akiwepo Chadema?

Mtazoea lini haya mambo ya mtu kuhama chama chenu kama haki yake kikatiba?

Sioni sababu ya kumuandama Msigwa wakati huu, walishaondoka wengi na wataondoka wengine, uadui wa aina yoyote ni dalili ya uchanga kifikra.

Mjifunze kufuata falsafa za chama badala ya kufuata watu, kama mkiendelea na hii tabia ya kufuata watu, mtaumwa vichwa kila siku watapohama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…