kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Haya sasa, wale wasiojulikana Chadema, mfuateni Msigwa mmulize kulikoni!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tetesi toka Twitter kuwa kapewa advance ya dola laki tanoAmechelewa sana ,angeenda kipindi cha JIWE ,ila MAZA atampa U-RC atembelee LC300.
Yani kwa Mbowe wanachadema wamezibwa masikio. Wanamuona kama nabii vile, hata akosee namna ganiChadema Mnisikilize muelewe
Mbowe ni Mamluki yuko Upinzani kujenga ulaji wake na kuwapumbaza. Hataki Watu smart ndani ya hicho chama.
Tangu ameharibu watu kuanzia kwa Chacha Wangwe mpaka leo anaendelea.
Umesema elimu yangu ndogo sina exposure na hapo umeongezea slow learner 😊I cannot. Watu kama wewe ni slow learners. Mpaka likukute ndiyo unajifunza.
Chadema matatizo mengine ni ya kujitakia.Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
huyo Alikuw ccm lia lia amerudi nyumban baada ya kazi aliyotumwa kuiumiz chadem kushindwaMchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Alizaliwa Juni 8 1965, ni mwanasiasa Mtanzania aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Iringa Mjini (2015-2020)
Kwa sasa Mchungaji Msigwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hivi karibuni 30 Mei 2024 Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, alimshinda Mchungaji Peter Msigwa kwenye Cheo cha Uwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa.
Katika uchaguzi wa kanda hiyo uliofanyika ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makambako, ambao ulikuwa na mchuano mkali, Sugu aliibuka kidedea baada ya kupata kura 52 sawa na asilimia 51 dhidi ya Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aliyepata kura 51 (asilimia 49). Matokeo hayo Mchungaji Msigwa hakukubaliana nayo kwa kile alichodai haki haikutendeka na alikata rufaa.
====
Kuhusu Mchungaji Msigwa kutaka kupewa Uwaziri na Hayati Magufuli soma:
1. Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa
2. Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
View attachment 3029802
Huwajui. Watu wanatumia majina ya bandia hapa na wana ID nyingi utawajuaje?Umesema elimu yangu ndogo sina exposure na hapo umeongezea slow learner 😊
Nmeachia hapo
Naijua JF nawajua watu wake sina la kusema
Kipimo hicho unachompimia Msigwa nawewe majira na wakati wako ukifika utapimiwa hichohicho nakushauri uwe makini na maneno Yako maana ni swala la muda tu nawewe utafikiwa.
Nani kakwambia?Kamati kuu ya Chadema ina wana CCM wasiopungua watano, wana maelekezo wakae underground