Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema yote ilijua Msigwa atahamia ccm, wamlaumu kwa lipi?Mch. Peter Msigwa katimkia CCM kutoka CHADEMA.
Rai yangu ni kwamba, pande zote mbili zijizuie kurushiana maneno au kulaumiana.
Yaani, Msigwa ajizuie kulaumu chama alichotoka na wafuasi wa CHADEMA wajizuie kumlaumu Msigwa.
Sumaye na Lowassa walikuwa mawaziri wakuu wastaafu lakini walihama CCM wakahamia CHADEMA na maisha yakaendelea. Kwa hiyo mimi sioni kama kuna la pekee sana linalohitaji kulaumiana kati ya hizi pande mbili.
Chadema yote ilijua Msigwa atahamia ccm, wamlaumu kwa lipi?
Anaamini hakutendewa HAKI.Mkuu, nilikuwa namuunga Msigwa mkono hadi hii leo. Hapa naunga mkono yeye kuukosa ule uwenyekiti dhidi ya Sugu, kukosa nafasi ya uongozi sio sababu ya kukihama chama.
Ameniacha na tafakuri, lakini zaidi ni mtu asiyefaa.
Kama Naibu Katibu Mkuu Chadema bara anasema eti mke wake hakumshirikisha suala la kwenda kuapishwa na Ndugai gereji bungeni [emoji1]Usiamini mwanasiasa yeyote hata kama ni mzazi wako
Msigwa anaenda kupata teuzi,mshahara mnono,mamlaka na mengi ambayo kamwe asingepata huko Chadema. Kitila mkumbo anajuta? Joshua Nasari anajuta? Kafulila anajuta? Msigwa anaenda kuungana na hao kula keki ya taifa.Kuna namna Msigwa hata yeye mwenyewe anajishangaa, ni kama haamini vile.
Amepoteza credibility yake kirahisi na kwa haraka sana.
Ukweli mchunguMkuu muache Mchungaji Msigwa aishi maisha yake. Wewe baki na maisha yako,amini katika chama unachoamini. Wapo wengine wengi wataondoka Chadema,huyu sio wa mwisho. Endeleeni kujifunza mnakosea wapi na nini mfanye kunasuka hapo mlipo sababu kiukuaji mnarudi kinyumenyume.
Hahahaa kwahio Chadema mdundiko au sio ye baba.πππMkuu muache Mchungaji Msigwa aishi maisha yake. Wewe baki na maisha yako,amini katika chama unachoamini. Wapo wengine wengi wataondoka Chadema,huyu sio wa mwisho. Endeleeni kujifunza mnakosea wapi na nini mfanye kunasuka hapo mlipo sababu kiukuaji mnarudi kinyumenyume.
Mimi sio shabiki wa haya mambo ya kisiasa,ila huyu jamaa inaonekana kabisa kua amechukua maamuzi kwa hasira aliyokua nayo,Kuna namna Msigwa hata yeye mwenyewe anajishangaa, ni kama haamini vile.
Amepoteza credibility yake kirahisi na kwa haraka sana.